Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watafiti: mazoezi hutibu saratani

Watafiti kutoka Marekani wanasema mazoezi humsaidia mtu aliyetibiwa maradhi ya saratani ya matiti kupona.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WATAFITI: NYIMBO ZA EMINEM ZINAONGEZA SPIDI YA MAZOEZI

 Rapa maarufu wa Marekani, Mathew Matthers Eminem. UNAWEZA kudhani ni utani lakini hili limetokea nchini Uingereza baada ya jopo la watafiti nchini humo kutoa utafiti wao kuwa nyimbo za rapa maarufu wa Marekani, Mathew Matthers zinaongeza morali ya mazoezi na spidi kwa wanamichezo. Watafiti hao kutoka Chuo Kikuu cha Hartpury, Uingereza walidai kutumia miezi mitatu wakichunguza matokeo ya kisaikolojia na kifizikia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Fahamu ukweli wa madai ya kinyesi cha ng'ombe hutibu virusi

Kuna imani nyingi zinazosambaa mtandaoni juu ya tiba ya corona, mpaka kinyesi cha ng'ombe kinahusishwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Panya watafiti wa mabomu na TB Morogoro

Panya hao maalum wanatumika kwa shughuli ya kuchunguza mabomu yaliyofichwa ardhini mbali na ugonjwa wa kifua kikuu TB.

 

10 years ago

Mwananchi

Watafiti wanavyolipigania zao la mhogo

Wakati wa jioni kwenye barabara nyingi jijini Dar es Salaam kina dada wengi huonekana wakiuza vipande vya mihogo mibichi kwa watu wanaokuwa kwenye foleni za magari.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Sheria ya Takwimu haiwazuii watafiti’

NBS - 1Na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa, amesema Sheria mpya ya Takwimu ya Mwaka 2015 haina lengo la kuzuia taasisi au watu binafsi kufanya utafiti wao nchini ila inalenga kuweka misingi imara ya shughuli za takwimu na utafiti.

Alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu kutungwa sheria hiyo mpya na Bunge Machi mwaka huu.

Dk. Chuwa alisema kuanzishwa kwa sheria hiyo kunalenga kutoa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Watafiti na dawa ya Ebola: A.Magharibi

Shirika la afya ulimwenguni WHO limesema kuwawataalam wanaendelea kufanya utafiti wa kupata dawa ya Ebola.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watafiti waombwa kugeukia ufugaji

WATAALAMU wa utafiti nchini wameombwa kujikita kwenye utafiti wa mifugo na kutoa elimu kwa wafugaji ili waboreshe shughuli zao na kuleta tija kwa kufuga kisasa. Ombi hilo lilitolewa jana na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani