WATAFITI: NYIMBO ZA EMINEM ZINAONGEZA SPIDI YA MAZOEZI

Rapa maarufu wa Marekani, Mathew Matthers Eminem. UNAWEZA kudhani ni utani lakini hili limetokea nchini Uingereza baada ya jopo la watafiti nchini humo kutoa utafiti wao kuwa nyimbo za rapa maarufu wa Marekani, Mathew Matthers zinaongeza morali ya mazoezi na spidi kwa wanamichezo. Watafiti hao kutoka Chuo Kikuu cha Hartpury, Uingereza walidai kutumia miezi mitatu wakichunguza matokeo ya kisaikolojia na kifizikia kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Jun
Watafiti: mazoezi hutibu saratani
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Kodi kubwa za simu zinaongeza gharama
WAKATI bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15 ikitarajiwa kuwasililishwa bungeni kesho, masikio ya Watanzania wengi yameelekezwa huko yakitaka kusikia kama italeta ahueni au itaongeza gharama za maisha. Katika...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
‘Bidhaa zenye viwango zinaongeza ajira’
IMEELEZWA kuwa faida ya kuzalisha bidhaa zenye viwango vya ubora unaokubalika kwenye masoko ya kimataifa unachangia kutengeneza ajira endelevu kwa watanzania. Akizungumza na Tanzania Daima jijiji Dar es Salaam, Msemaji...
9 years ago
Bongo519 Nov
Nina nyimbo nyingi sana so msishtuke kuona natoa nyimbo 2 au 3 kwa mpigo – Wakazi

Rapper Wakazi amesema kuwa mashabiki wake wasishtuke wakiona anaachia nyimbo 2 au 3 kwa mpigo kwasababu ana nyimbo nyingi sana alizorekodi na anazoendelea kurekodi kwaajili ya album zake mbili.
Kupitia Instagram Wakazi amesema kuanzia kesho anaanza kuachia nyimbo hizo kwaajili ya mashabiki wake.
“Nimekuwa studio kwa Muda mrefu nikiandaa Albums zangu mbili, na wakati bado zoezi hilo linaendelea I think it’s only right I start releasing some of the songs for my fans. Nina nyimbo nyingi sana...
10 years ago
GPL
ZITTO SPIDI 120
10 years ago
Bongo517 Oct
Nyimbo 4,000 zawasilishwa kwa Celine Dion baada ya kutangaza anahitaji kuandikiwa nyimbo mpya
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Yanga, Azam, Simba spidi 180
10 years ago
Habarileo08 Sep
Lowassa aahidi utendaji spidi 120
MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia anaungwa mkono na vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na NLD, Edward Lowassa amesema endapo atachaguliwa kuwa rais ataunda serikali isiyokuwa ‘nyoronyoro’.
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Spidi ya Dk Magufuli inajibu maswali yaliyokosa majibu