Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa aahidi utendaji spidi 120

MGOMBEA Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia anaungwa mkono na vyama vya NCCR-Mageuzi, CUF na NLD, Edward Lowassa amesema endapo atachaguliwa kuwa rais ataunda serikali isiyokuwa ‘nyoronyoro’.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ZITTO SPIDI 120

Na Elvan Stambuli
MWENDO  wa Kiongozi Mkuu wa Alliance for Change and Transparency (ACT) Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe (pichani) umetafsiriwa kuwa ni wa spidi 160 kutokana na kujawa wasikilizaji katika mikutano yake anayofanya kwenye  mikoa mbalimbali nchini.
Zitto ameshafanya mikutano katika Mikoa ya Ruvuma, Njombe, Morogoro, Shinyanga na Mwanza na mikutano yake imekuwa ikihudhuriwa na wananchi wengi, hivyo kutumia...

 

10 years ago

Dewji Blog

MCHEZA KWAO HUTUNZWA; Lowassa atua Arusha na kupata wadhamini 120,335

b5

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akikimbia kuelekea jukwaani kuwashjukuru wananchin na wana CCM wa mkoa wa Arusha walioijitokeza wakati akiomba wadhamini Juni 24, 2015. Mh. Lowassa, alipata jumla ya wadhamini 120,335.(Picha na K-VIS MEDIA).

Lowassa_ahutubia umati 2

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akitoa hotuba ya kuwashukuru wana CCM na wananchi wa mkoa wa Arusha, baada ya kupata wadhamini 120,335, waliomdhamini kufuatia kuchukua fomu za kuomba...

 

10 years ago

Michuzi

LOWASSA APATA UDHAMINI WA KISHINDO JIJINI ARUSHA LEO, WANACCM 120,335 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Jiji la Arusha waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Msikiti Mkubwa uliopo mbele ya Ofisi za CCM Mkoa wa Arusha, leo Juni 24, 2015. Jumla ya WanaCCM 120, 335 wa jiji la Arusha wamemdhamini Mh. Lowassa.Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM wa Mkoa wa Arusha waliomdhamini ili aweze kupata ridhaa ya...

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa aahidi kuboresha maisha

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesisitiza akichaguliwa kuwa rais, ataboresha maisha ya wananchi ikiwemo kuwezesha kupata milo mitatu.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa aahidi soko la korosho

MGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Edward Lowassa amesema atalitafutia soko zao la korosho na kuimarisha mfumo wa stakabadhi ghalani kama atachaguliwa kuwa Rais.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aahidi bandari ya kisasa Kigoma

Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa mkoa wa Kigoma kuwa atajenga bandari ya kisasa ikiwa watamchagua kuwa rais wa awamu ya tano katika uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa aahidi kuanzisha benki ya mikopo nafuu

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema anayeungwa mkono na vyama vya CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, Edward Lowassa amesema akiteuliwa kuwa rais ataanzisha benki ya maendeleo kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wananchi wa kipato cha chini.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa aahidi kuchunguza upya Operesheni Tokomeza

Mgombea urais wa Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa Awamu ya Tano, ataunda tume tatu ikiwamo ya kuchunguza upya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili ambalo utekelezaji wake ulilalamikiwa na wananchi.

 

9 years ago

StarTV

 Lowassa aahidi kufungua kiwanda cha chai Mponde

Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema wananchi wakimpa ridhaa ya kuwa Rais ndani ya miezi sita atahakikisha kiwanda cha chai cha Mponde kinafunguliwa na kuanza kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.

Kiwanda cha chai cha Mponde kilifungwa baada ya wananchi kuingia kwenye mgogoro wa kimaslahi na aliyekuwa mwekezaji wa kiwanda hicho. Taarifa zaidi na mbonea Herman:

Lowassa alikutana na wananchi waliokuwa wakimsubiri ,lakini kabla ya kuzungumza na wananchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani