Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakaokamata wachafuzi mazingira kulipwa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Moshi inafanyia marekebisho sheria yake ya mazingira kwa kuhakikisha inatoa adhabu ya faini ya wastani wa Sh 10,000 na 50,000 kwa wakazi wanaochafua mazingira hususani kwa kata za pembezoni mwa mji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Sitowachekea wachafuzi wa Mazingira - Dkt. Mahenge

 Na Rashda Swedi- VPOViwanda vitakavyokiuka masharti na kanuni za kulinda mazingira havina budi kufungiwa mpaka vitakapofuata taratibu na sheria za utunzaji wa Mazingira, ameseme jijini Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mzingira Mh. Dkt. Injinia Binilith Mahenge alipofanya ziara fupi ya kutembelea kiwanda cha kuzalisha mafuta (Murza Oil Mills Limited) kilichopo Vingunguti. Dkt Mahenge alisema hayo baada ya kutoridhishwa na mfumo wa maji taka ya kiwanda hicho na...

 

9 years ago

Habarileo

Wachafuzi mazingira Ilala kukamatwa Desemba 9

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala imesema operesheni ya kuwakamata watu wanaoharibu na kuchafua mazingira, itaanza rasmi Desemba 9, mwaka huu ili kuhakikisha manispaa hiyo inabaki salama.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wachafuzi mitandaoni wabanwe’

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kutoka vyuo vikuu, wamekitaka chama hicho kuchukua hatua za makusudi kutokana na kuanza kushamiri kwa taarifa za watu kuchafuana kupitia mitandao ya kijamii.

 

11 years ago

Habarileo

Mama Salma: Lindi msidanganyike na wachafuzi wa amani

Mama Salma KikweteWAKAZI wa mkoa wa Lindi wametakiwa kutodanganyika na kundi la watu wachache, wanaotaka kuvuruga amani iliyopo, bali waitunze na kuhakikisha haipotei, kwani amani ikitoweka hao wanaowadanyanga, watakimbia na kuwaacha wakiteseka.

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA YATOA MSISITIZO WA USIMAMIZI WA SHERIA ZA UHIFADHI WA MAZINGIRA

Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema ambaye alimwakilisha mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akipokea maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa maadhimisho ya kilele cha wiki ya mazingira jijini Dar es salaam.Kulia ni Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Jerry Silaa.  Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

5 years ago

Michuzi

JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA NA UKAGUZI WA MAZINGIRA


JUNI 15, 2020 MWISHO USAJILI WA MIRADI YA UCHENJUAJI DHAHABU (LEACHING AND ELUTION PLANTS) KWA AJILI YA TATHMINI YA ATHARI KWA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT) NA UKAGUZI WA MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL AUDIT)
Dar es Salaam, May 5, 2020.

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) linawatangazia wawekezaji wote wanaojihusisha na shughuli za uchenjuaji wa madini ya dhahabu (“vat leaching na elusion plants”) kuwa, kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira ya Mwaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waombolezaji wa Kulipwa Kenya

Kila Alhamisi na Ijumaa,waombolezaji mjini Kisumu, Kenya, huzuzua uma wa mbinu zao za kuwaaga wapendwa wao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani