Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachafuzi mazingira Ilala kukamatwa Desemba 9

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala imesema operesheni ya kuwakamata watu wanaoharibu na kuchafua mazingira, itaanza rasmi Desemba 9, mwaka huu ili kuhakikisha manispaa hiyo inabaki salama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Watakaokamata wachafuzi mazingira kulipwa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Moshi inafanyia marekebisho sheria yake ya mazingira kwa kuhakikisha inatoa adhabu ya faini ya wastani wa Sh 10,000 na 50,000 kwa wakazi wanaochafua mazingira hususani kwa kata za pembezoni mwa mji.

 

11 years ago

Michuzi

Sitowachekea wachafuzi wa Mazingira - Dkt. Mahenge

 Na Rashda Swedi- VPOViwanda vitakavyokiuka masharti na kanuni za kulinda mazingira havina budi kufungiwa mpaka vitakapofuata taratibu na sheria za utunzaji wa Mazingira, ameseme jijini Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mzingira Mh. Dkt. Injinia Binilith Mahenge alipofanya ziara fupi ya kutembelea kiwanda cha kuzalisha mafuta (Murza Oil Mills Limited) kilichopo Vingunguti. Dkt Mahenge alisema hayo baada ya kutoridhishwa na mfumo wa maji taka ya kiwanda hicho na...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI

Na Avila kakingo,Globu ya Jamii.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...

 

10 years ago

GPL

ILALA YAONGOZA SHUGHULI ZA WIKI YA MAZINGIRA

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (katikati), akikabidhi kikombe kwa mfanyakazi wa kampuni ya Green WastePro Ltd kwa mchango wao mkubwa katika kutunza wa mazingira. Wawakilishi wa makampuni na taasisi wakipokea vyeti na medali kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto),…

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Ilala, Orijino Komedi washiriki wiki ya Mazingira kata ya Kivukoni

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto) akishiriki zoezi la usafi katika fukwe ya Bahari ya Hindi eneo la Aga Khan kata ya Kivukoni ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya Mazingira huku akishirikiana na viongozi wa kampuni iliyopewa zabuni ya kusafisha manispaa ya Ilala Green Waste Pro Ltd pamoja na wafanyakazi wa manispaa ya Ilala jana asubuhi. Wa pili kushoto ni Meneja wa mwendeshaji wa kampuni ya  Green Waste Pro Ltd, Abdallah Mbena.    Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark...

 

9 years ago

Michuzi

MANISPAA YA ILALA WASHIRIKIANA NA FORUMCC KUANZISHA MFUKO WA MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIANCHI.

MANISPAA  ya Ilala kwa kushirikiana na ForumCC wako katika hatua za mwisho za uanzishaji wa Mfuko wa Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi ukiwa na lengo la kukusanya pesa za kukabiliana na changamoto za mazingira na mabadiliko ya tabianchi katika eneo hilo
Mkuu wa Idara ya Usafi na Mazingira Manispaa ya Ilala, Abdon Mapunda anasema baada ya kukamilisha zoezi la ukusanyaji wa maoni ya wadau wa mazingira, mfuko huo utaanza mara moja kabla ya mwaka 2015 kumalizika
Wakati Manispaa ya Ilala ikiwa...

 

11 years ago

GPL

TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA

 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaa
 Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo (kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika ...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wachafuzi mitandaoni wabanwe’

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) kutoka vyuo vikuu, wamekitaka chama hicho kuchukua hatua za makusudi kutokana na kuanza kushamiri kwa taarifa za watu kuchafuana kupitia mitandao ya kijamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani