Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakaosababisha njaa Masasi kukiona

MWENYEKITI wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi ambaye pia ni Diwani wa kata ya Chiungutwa, Juma Satma amewaagiza wenyeviti wa vijiji na vitongoji kusimamia kilimo kwenye maeneo yao na kwamba atakayesababisha njaa katika eneo lake asijilaumu kwa yatakayomfika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC KINONDONI ASISITIZA KUWACHAPA VIBOKO WATAKAOSABABISHA MIKUSANYIKO ISIYO YA LAZIMA BAA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MKUU  wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Daniel Chongolo amesema wataendelea kuchukua hatua ya kuchapa viboko watu ambao watakuwa wanafanya mikusanyiko ambao haitakuwa wa lazima hasa kwenye Baa huku akisisitiza watu watachapwa kweli kweli.

Chongolo amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati anazungumza na Michuzi TV pamoja na Michuzi Blog wakati anafafanua msimamo wa kuchukua hatua ya kuwacharaza viboko watu ambao watakuwa wanaweka mkusanyiko usio wa lazima...

 

10 years ago

Habarileo

DC Masasi apongeza REA

MKUU wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Farida Mgomi, amepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa programu yao ya mafunzo inayoendelea wilayani humo, itakayosaidia kukabiliana na uharibifu wa mazingira ya bahari.

 

10 years ago

Habarileo

Polisi yasikitishwa na vurugu Masasi

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara kimeibuka na ushindi kwa kujinyakulia viti 945 sawa na asilimia 88 ya kura zote zilizopigwa katika uchaguzi wa wenyeviti wa serikali za mitaa, vijiji pamoja na vitongoji uliofanyika kote nchini jana.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Nitawakomboa wakazi wa Jimbo la Masasi

Maandishi yana nguvu, lakini ya watu makini yana nguvu zaidi na uwezo wa namna yake kubadili fikra za mtu. Hayo yanadhihirishwa na msanii na mwanasiasa, Ismail Makombe maarufu Kundambanda, aliyetangaza nia ya kuwania ubunge Jimbo la Masasi.

Kwa mujibu wa Makombe, maandishi ya wanasafu wa Gazeti la Raia Mwema, yalibadili mtazamo wake kuhusu mambo mbalimbali nchini. Hayo na mengine aliyasema katika mahojiano na mwandishi wetu, MARY VICTOR, katika makala haya.

Raia Tanzania: Hivi...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Makaidi alalamikia fitna Masasi

Mgombea ubunge Jimbo la Masasi mkoani Mtwara, kwa tiketi ya NLD, Dk Emmanuel Makaidi amesema anahisi harufu ya hujuma, lakini haihofii na ameapa kupambana hadi ashinde.

 

9 years ago

Mwananchi

Makaidi akumbana na kigingi Masasi

Mgombea ubunge Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kupitia Chama cha NLD, Emmanuel Makaidi amepata wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kuendelea kumkataa kwa madai kuwa siyo chaguo lao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA waibuka kidedea Masasi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Masasi Mtwara, imewaachia huru watuhumiwa 20 kati ya 21 waliyokuwa wakikabiliwa na kesi ya kula njama ya kutenda kosa, kuandamana bila kibali, kuharibu na kuchoma majengo...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM kidedea Masasi, Ludewa

Mgombea ubunge wa Masasi (CCM), Chuachua Rashid ameshinda kwa kupata kura 16, 597 dhidi ya mgombea wa CUF, Ismail Makombe ‘Kundambanda’ aliyepata kura 14, 069.

 

9 years ago

Global Publishers

CCM yanyakua ubunge jimbo la Masasi

33Mbunge Mteule wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CCM, Bw. Rashid Chuachua.

Chama cha Mapinduzi kimeweza kutetea jimbo lake la Masasi katika uchaguzi ulifanyika jana baada ya kuahirishwa Okt. 25 mwaka huu kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha NLD, Dkt. Emamanuel Makaidi kufariki Dunia huko Nyangao mkoani Lindi.

Kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi huo yaliyotangazwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jimbo la Masasi, Fortunatus Kagoro amesema kuwa Bw. Rashid...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani