Watakiwa kutofuja mahindi ya akiba
WILAYA ya Nkasi mkoani Rukwa, imetajwa kukabiliwa na upungufu wa mahindi, hivyo wakazi wake, hususan wakulima kutakiwa kutofuja akiba iliyopo, bali waitumie kwa uangalifu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Jul
Wasanii watakiwa kujiwekea akiba
WASANII nchini wametakiwa kujenga utamaduni wa kujiwekea akiba katika mifuko mbalimbali ya jamii kwani kufanya hivyo kutawasaidia katika maisha yao baada ya kustaafu kazi zao au wanapokuwa hawana tena uwezo wa kufanya kazi.
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi
10 years ago
Habarileo31 Oct
Gunia la mahindi Sh. 12,000/-
WAKULIMA na wavuvi wa mjini Sumbawanga wameendelea kusota kutokana na kushuka kwa bei ya mahindi na samaki wabichi wanaovuliwa katika Ziwa Tanganyika wilayani Kalambo kwa kukosa soko la uhakika.
10 years ago
Habarileo11 Jun
RC asema chakula si mahindi tu
MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone amekataa taarifa za halmashauri za wilaya na Manispaa mkoani humo kuwa na upungufu wa chakula, akidai takwimu hizo ni za kupika.
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Wakulima wa mahindi waandamana
WAKULIMA wa mahindi wilayani hapa, Mkoa wa Mbeya wameandamana hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ili kujua hatma ya ununuzi wa mahindi yao. Wakizungumza na Tanzania Daima, wakulima hao walisema...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuW10R3po1h1rj-kNLnTiqdRRYZLg5EZ3XC7m12QnwzON6KwvjfLzeWAzutfWiKW4UdcG9hTHKHGU*zqoewUnsI9/mahindi.jpg?width=650)
MAHINDI YAMEIBEBA DUNIA-2
10 years ago
Habarileo25 May
Mbegu mpya ya mahindi yatambulishwa
MBEGU mpya ya mahindi, Chapa Tembo 719, yenye uwezo wa kuzalisha gunia 45 za nafaka hiyo, imetambulishwa kwa wakulima wa kongani ya Ihemi ya Ukanda wa Kuendeleza Kilimo Kusini Mwa Tanzania (SAGGOT) kwa ajili ya msimu wa kilimo wa 2015/2016 na kuendelea.
10 years ago
Mwananchi14 Nov
NFRA kununua mahindi Gairo