Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watano wadaiwa kumiliki bunduki

Watu watano wanaodhaniwa kuwa majambazi wamekamatwa na polisi wilayani Korogwe mkoani Tanga kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Shortgun na sare za polisi wakati wakijiandaa kwenda kufanya uhalifu .

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Basi lapiga mweleka huko Kahama leo,watu watano wadaiwa kupoteza maisha

Basi la Wibonela linalofanya safari zake kati ya Kahama - Dar limepinduka na kupelekea zaidi ya watano kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhi vibaya,ajali hiyo imetokea mapema leo katika eneo la Fantom nje kidogo ya mji wa Kahama. Chanzo kinaelezwa ni mwendo kasi uliopelekea kumshinda dereva wa basi hilo wakati akikata kona ya kuingia barabara kuu hali iliyopelekea basi kupinduka.  Taarifa kamili tunaendelea kuifatilia na tutaendelea kujuzana hapa hapa.Sehemu ya Mashuhuda wa ajali...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WATANO WADAIWA KUPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA VIBAYA KUFUATIA AJALI YA BASI LA WIBONELA KUPINDUKA MJINI KAHAMA LEO



 Basi la Wibonela linalofanya safari zake kahama Dar limeua watu zaidi ya watano na kujeruhi wengi leo asubuhi eneo la Fantom Kahama. Chanzo ni mwendo kasi uliomshinda dereva wa basi hilo kukata kona ya kuingia barabara kuu hivyo kuruka nje na kusababisha basi hilo kupinduka. Na pia kibaka aliyekuwa anapekua na kuchomoa fedha na Vitu kwa majeruhi wa ajali hiyo amepigwa na kuchomwa moto hadi kufikia na watu wenye hasira kali. Mpaka sasa haijajulikana majeruhi ni wangapi na waliokufa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Wawili wakamatwa na bunduki

Polisi wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha, inawashikilia wafugaji wawili kwa kosa la kukutwa na bunduki aina ya Rifle wanayodaiwa kuitumia kufanya uhalifu wilayani hapa na Kenya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Matajiri kumiliki mali zaidi

Shirika la kimataifa la misaada nchini Uingereza, Oxfam, limeonya kwamba kufikia mwaka ujao, matajiri ambao ni asilimia moja ya idadi ya watu duniani, watamiliki mali zaidi kuliko asilimia 99 iliyosalia ya watu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu binafsi kumiliki treni

Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) inatarajiwa kupata ushindani baada ya Serikali kuamua kuruhusu wawekezaji wa sekta binafsi kutumia Reli ya Kati.

 

9 years ago

Mwananchi

Arusha yaongoza kumiliki bastola

Mkoa wa Arusha umetajwa kati ya mikoa ya pembezoni nchini ambayo inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaomiliki silaha za moto, hasa bastola.

 

10 years ago

Mwananchi

Aina za kampuni unazoweza kumiliki

Ndugu msomaji wa Uwanja wa Kambole, leo tutajikita kwenye aina za kampuni zinazotambuliwa na sheria namba 12 ya mwaka 2002. Kuna aina mbalimbali za kampuni na zinatofautiana kulingana na uhitaji na malengo ya mtu anayefungua pia akipata ushauri wa mwanasheria wake. Zifuatazo ni aina za kampuni Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunduki bandia yamletea maafa US

Polisi nchini Marekani wamuua kijana mwenye umri wa miaka 12 baada ya kubeba kilichobainika kuwa bunduki bandia

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi yakamata bunduki 16 za Stakishari

Jeshi la Polisi limesema limeshakamata bunduki 16 kati ya 21 zilizoporwa kwenye Kituo cha Stakishari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani