Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania asilimia 33.4 watajwa maskini wa kutopea

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), umebaini asilimia 33.4 ya Watanzania wameghubikwa na umaskini uliokithiri jambo linalosababisha vifo, msongo wa mawazo, afya duni na utegemezi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI

Ni wazi kwamba ningependa siku moja watanzania waweze kujua ukweli wa nini kinafanywa na matajiri wa nchi hii.Matajiri waliojaa  ulafi wa kunufaika na rasilimali za nchi hii kwa manufaa yao na familia zao ukijumlisha wapambe wao na washirika wa ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ni katika vita hii ndio inayopelekea serekali yetu kuyumba na kuyumbishwa (STATE TO BE CAPTURED) na hawa matajiri pale wanapopigania maslahi yao na kudiriki kutumia utajiri wao na umiliki wao wa vyombo kama vya...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania wanne waliokufa watajwa

WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imethibitisha kutokea kwa vifo vya mahujaji Watanzania wanne, waliokufa wakati wakishiriki ibada ya Hijja, iliyofanyika Makka, Saudi Arabia juzi.

 

5 years ago

Michuzi

UNESCO imeonyesha kuwa asilimia 40 ya nchi maskini zaidi haziwasaidii wanafunzi walio katika hatari wakati huu wa janga la COVID-19

Chini ya asilimia 10 ya nchi zina sheria zinazosaidia kuhakikisha ujumuishaji kamili katika elimu, kwa mujibu wa Ripoti ya Dunia ya Ufuatiliaji wa Elimu 2020: Ujumuishaji na Elimu – Tukisema wote, Basi ni Wote, kutoka UNESCO.
Ripoti hii inatoa uchanganuzi wa kina kuhusu vipengele msingi vya utengaji wa wanafunzi katika mifumo ya elimu ulimwenguni vikiwemo mahali walimotoka, utambulisho na uwezo (yaani, jinsia, umri, mahali walimotoka, umaskini, ulemavu, kabila, asili, lugha, dini, hali ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania maskini wafikia milioni 4.2

Ripoti mpya iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) inaonyesha Watanzania milioni 4.2 wanaishi chini ya mstari wa umaskini kwa kupata Sh886 kwa siku.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania milioni 7 maskini wa kutupwa

ASILIMIA 9.7 ya Watanzania, sawa na watu milioni 7.2 wanakabiliwa na umaskini uliokithiri nchini. Kutokana na hali hiyo, serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) imeendelea na miradi ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mghwira: Hakuna sababu ya Watanzania kuwa maskini

Mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema Watanzania hawana sababu ya kuwa maskini, bali ni kutokana na mfumo mbovu uliowekwa na chama tawala.

 

11 years ago

Mwananchi

Asilimia 56 ya Watanzania kufikiwa na umeme 2025

Nusu ya nyumba za Watanzania waishio vijijini huenda zikapata mwanga wa uhakika wa nishati ya umeme ifikapo 2025 kutokana na mkakati maalumu wa Wakala wa Umeme Vijijini(Rea).

 

11 years ago

Dewji Blog

Asilimia 60 ya watanzania kutumia tiba asili-WHO

2

Mlezi wa Chama Cha Utabibu wa Dawa Asilia Tanzania (ATME), Kingunge Ngombale (kushoto), akifungua mafunzo kwa wahariri na waandishi wa vyombo vya habari kuhusu tiba asilia, katika ukumbi wa mikutano NIMR jijini Dar es Salaam,ambapo amewataka Watanzania kuondokana na imani potofu dhidi ya tiba asili na badala yake watumie ili kupona maradhi mbalimbali yanayowakabili (kulia),Mwenyekiti wa Chama cha Utabibu wa Dawa Asili Tanzania (ATME), Bw.Simba Abdulrahmani.

Na Damas Makangale, MOblog...

 

9 years ago

Dewji Blog

Halotel kufikisha mtandao kwa asilimia 95 ya watanzania hadi mwishoni mwa mwaka 2016

1

Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya mawasiliano ya Halotel, Le Van Dai akizungumza na wanahabari katika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam leo kuhusuiana na mtandao huo kutanua huduama zake hadi kufikia asimimia 95 ya watazanzania. Wanaoshuhudia ni Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Emanuel Malyeta (kushoto), na kulia kwake ni mwanasheria wa kampuni hiyo,Christopher Masai.

4

Naibu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Halotel, Emanuel Malyeta akifafanunua jambo kwa waandishi wa habari....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani