Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asilimia 56 ya Watanzania kufikiwa na umeme 2025

Nusu ya nyumba za Watanzania waishio vijijini huenda zikapata mwanga wa uhakika wa nishati ya umeme ifikapo 2025 kutokana na mkakati maalumu wa Wakala wa Umeme Vijijini(Rea).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIJIJI 120 KUFIKIWA NA UMEME MKOANI ARUSHA

Na Mahmoud Ahmad,Arusha.  Vijiji 120 vilivyopo mkoa wa Arusha vinatarajia kufikiwa na huduma ya umeme kupitia mpango wa kusambaza umeme vijijini unaofadhiliwa na (REA) na kutekelezwa na shirika la umeme la taifa (TANESCO).  Benedict Nkini akizungumza katika mkutano na Wananchi wa Vijiji vya Meserani juu na chini amesema kuwa kwa sasa wako katika hatua ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya mradi huo ili waweze kujiandaa kuunganishwa na huduma hiyo na pia amewataka waepuke vishoka ambao...

 

5 years ago

Michuzi

VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME-MAJALIWA










Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Nanjaru, Bakari Chuwa (kulia) wakati alipotembelea ghala la chama hicho akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa kwa nyimbo wakati alipowasili kwenye kijiji cha Nanjaru akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama magunia...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA YA MADINI KUCHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA IFIKAPO 2025-WAZIRI MKUU KAASIM MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Utoaji wa Cheti cha Uhalisia kwa Madini ya Bati kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 23, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha cheti baada ya kuzindua utoaji wa cheti cha uhalisia kwa Madini ya Bati kwenye ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Februari 23, 2020. Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai, wa pili kushoto ni...

 

10 years ago

Habarileo

Upelekaji umeme Magu wakamilika asilimia 53

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles MwijageUTEKELEZAJI wa upelekaji wa umeme katika vijiji kadhaa wilayani Magu umekamilika kwa asilimia 53, Bunge lilielezwa jana.

 

11 years ago

Habarileo

Asilimia 93 ya Unguja, Pemba kuna umeme

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imefanikiwa kusambaza huduma za umeme mjini na vijijini Unguja na Pemba kwa asilimia 93.

 

10 years ago

Michuzi

IPTL yashusha bei ya umeme kwa asilimia 20

KAMPUNI ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ikiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Pan African Power Solutions (T) Limited (PAP) imetangaza kufikia kwa punguzo la bei ya umeme la asilimia 20 baada ya kufanya marekebisho makubwa ya injini za mtambo huo ya masaa 36,000 ikifanya kazi, zoezi iliyokamilika ndani ya mwanka 2014. IPTL pia imetangaza kuwa bei yao ya umeme ikitarajiwa kushuka zaidi kulingana na kushuka kwa bei ya mafuta mazito. 
Marekebisho hayo yaliyotumia...

 

10 years ago

Habarileo

Upatikanaji umeme vijijini wapaa kwa asilimia 18

UPATIKANAJI wa huduma za nishati ya umeme vijijini umeongezeka kutoka asilimia 2.5 mwaka 2007 hadi kufika asilimia 21, hivi sasa ikiwa ni juhudi za baada ya kuundwa kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA).

 

9 years ago

Mwananchi

Tanesco: Uzalishaji wa umeme umeshuka kwa asilimia 81

Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) limesema kuwa mgao wa umeme unaoendelea nchini umesababishwa na kushuka kwa uzalishaji wa umeme katika mabwawa ya maji kwa asilimia 81.3.

 

10 years ago

Michuzi

Miradi ya Umeme kufikia asilimia 40-45 ikikamilika kwa wakati- Simbachawene

Asteria Muhozya, Dodoma
Waziri wa Nishati na Madini George Simbachawene amesema endapo utekelezaji wa Miradi ya Umeme Vijijini Awamu ya Pili, inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO), itakamilika kama ilivyopangwa ifikapo Juni mwaka huu, itawezesha kufikikiwa asilimia 40-45 ya Vijiji na Miji iliyounganishwa na Huduma ya Umeme kwa upande wa Tanzania Bara.
Waziri Simbachawene ameyaeleza hayo wakati wa ziara yake katika Vijiji vya Mtitaa,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani