VIJIJI 120 KUFIKIWA NA UMEME MKOANI ARUSHA
![](http://3.bp.blogspot.com/-IZVt3yE0fo4/U_jNsAspyOI/AAAAAAAGB20/HEoI0tM0wIE/s72-c/unnamed%2B(16).jpg)
Na Mahmoud Ahmad,Arusha. Vijiji 120 vilivyopo mkoa wa Arusha vinatarajia kufikiwa na huduma ya umeme kupitia mpango wa kusambaza umeme vijijini unaofadhiliwa na (REA) na kutekelezwa na shirika la umeme la taifa (TANESCO). Benedict Nkini akizungumza katika mkutano na Wananchi wa Vijiji vya Meserani juu na chini amesema kuwa kwa sasa wako katika hatua ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya mradi huo ili waweze kujiandaa kuunganishwa na huduma hiyo na pia amewataka waepuke vishoka ambao...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-o4wy1Dcgyac/XvIUIAwkvXI/AAAAAAALvFs/0g-8CwL5KMYmWhkTP429keJNFul0yE1jACLcBGAsYHQ/s72-c/35dd225a-a3ed-48ea-b1ca-5d6cf2932284.jpg)
VIJIJI VYOTE NCHINI KUFIKIWA NA UMEME-MAJALIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-o4wy1Dcgyac/XvIUIAwkvXI/AAAAAAALvFs/0g-8CwL5KMYmWhkTP429keJNFul0yE1jACLcBGAsYHQ/s640/35dd225a-a3ed-48ea-b1ca-5d6cf2932284.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Msingi cha Nanjaru, Bakari Chuwa (kulia) wakati alipotembelea ghala la chama hicho akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/7236e84f-b598-4815-84c2-d34bb0328476.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa kwa nyimbo wakati alipowasili kwenye kijiji cha Nanjaru akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Ruangwa, Juni 23, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/d5657ce9-73c7-40af-a0d0-ce1343f634f5.jpg)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama magunia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ClPUM9mELbA/XusHyOk0r9I/AAAAAAALuXM/Nky1zxGnGVACofjQ36m_80xOPficuuvDwCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-18%2Bat%2B8.34.48%2BAM.jpeg)
BILIONI 51 KUWASHA UMEME VIJIJI 141 MKOANI KAGERA KUFIKIA JUNI 30.
Na Abdullatif Yunus Michuzi TV.
Serikali kupitia Wizara ya Nishati na kwa kushirikiana na Wakala wa Umeme Vijijini (REA), ipo mbioni kuhakikisha Vijiji vyote 141 Mkoani Kagera vinapata huduma ya Nishati ya Umeme ndani ya siku chache kuanzia sasa hii ni kutokana na Mradi huu wa usambazaji Umeme Vijijini Mkoani Kagera kuendelea Vizuri.
Akizungumza muda mfupi baada ya kutembelea Kijiji cha Kyamalange kilichopo Tarafa Bugabo, na kujionea jinsi mradi huo unavyoendelea Mhandisi Jones F. Olotu...
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Asilimia 56 ya Watanzania kufikiwa na umeme 2025
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Vijiji nane kupatiwa umeme
VIJIJI nane vya wilaya ya Nzega vinatarajia kunufaika na mradi wa umeme kupitia Mpango Kabambe wa Umeme Vijijini Awamu ya Pili chini ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Naibu Waziri...
10 years ago
Habarileo25 Dec
Vijiji 45 kupata umeme Mara
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amesema vijiji 45 mkoani Mara vinatarajiwa kuunganishiwa na huduma ya umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Vijiji 20 Mbozi kupata umeme
ZAIDI ya vijiji 20 Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, vitapata umeme kupitia mradi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), utakaoanza kutekelezwa Septemba mwaka huu. Mradi huo unaotarajiwa kukamilika Juni mwakani,...
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://4.bp.blogspot.com/-ZKSShlgK-bA/VPXjGKgCZsI/AAAAAAAAB2o/-Bzuwwi7ipA/s72-c/pinda.jpg)
Vijiji 244 kupata umeme Mbeya
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZKSShlgK-bA/VPXjGKgCZsI/AAAAAAAAB2o/-Bzuwwi7ipA/s1600/pinda.jpg)
“Nimeambiwa kuwa katika mwaka 2014/15, jumla ya vijiji 244 vitapatiwa...
11 years ago
Habarileo31 Mar
Vijiji 6 Kilombero kupelekewa umeme wa Kihansi
VIJIJI sita vya Wilaya ya Kilombero, mkoani hapa vinavyopitiwa na njia kuu ya umeme kutoka Kihansi, vinatarajia kunufaika na nishati hiyo mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa msongo wa kilovoti 33.
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Vijiji Mbeya kupatiwa umeme karibuni
SERIKALI imesema imekamilisha kazi ya kupeleka umeme katika Kata ya Iseye na Itendi zilizoko Jimbo la Mbeya Mjini. Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,...