Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wanne waliokufa watajwa

WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imethibitisha kutokea kwa vifo vya mahujaji Watanzania wanne, waliokufa wakati wakishiriki ibada ya Hijja, iliyofanyika Makka, Saudi Arabia juzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Waliokufa mafuriko Dar watajwa

POLISI jijini Dar es Salaam imewataja watu 10 waliokufa kutokana na mafuruko yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania asilimia 33.4 watajwa maskini wa kutopea

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), umebaini asilimia 33.4 ya Watanzania wameghubikwa na umaskini uliokithiri jambo linalosababisha vifo, msongo wa mawazo, afya duni na utegemezi.

 

11 years ago

Habarileo

'Watanzania msaidieni mama wanne'

MKUU wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, Mariam Lugaila amesema atapitisha michango kwa wasamaria ili waweze kumsaidia Tecla Kazimili (24) aliyejifungua watoto wanne.

 

9 years ago

GPL

MAHUJAJI WANNE WATANZANIA WAFARIKI, MAKKA

Miili ya mahujaji walikufa kwenye tukio hilo. Miili ya mahujaji walikufa kwenye tukio hilo ikiwa imefunikwa. Muonekano wa umati wa mahujaji katika mji wa Makka. Makka, Saudi Arabia MAHUJAJI  wane Watanzania wamethibitishwa kufariki dunia katika tukio la kukanyagana lililotokea jana huko Mina katika mji wa mtakatifu wa Makka nchini saudi Arabia. Watanzania hao waliopoteza maisha ni miongoni mwa mahujaji 717 kutoka sehemu...

 

9 years ago

Mwananchi

Watanzania wanne wapoteza maisha kwa mkanyagano Makka

Watanzania wanne ni miongoni mwa mahujaji zaidi  ya 700 waliopoteza maisha jana kwa mkanyagano wakati wakitekeleza ibada ya hija mjini Mina umbali wa takribani kilometa tano toka mji mtakatifu wa Kiislamu, Makka nchini Saudi, Arabia. 

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA WANNE WAPATA TUZO ZA UANDISHI WA FASIHI YA KISWAHILI AFRIKA


Afisa Masoko wa Alaf, Theresia Mmasy akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani)jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mwandishi wa kitabu cha Kolonia Santita, Enock Maregesi na Mwandishi wa Ushairi la Kifaurongo, Christopher Budebah.
Mkuu wa Idara ya Fasihi ya Mawasiliano na Uchapishaji (TATAKI) WA wa chuo kikuu cha Dar es Salaam akiwa na baadhi ya viongozi ya ALAF Limited. Mshiriki wa Taaluma ya Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa, Adrian Mtembei  akizungumza na waandishi...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WANNE MBARONI KWA KUWATUMIKISHA MABINTI KINGONO NCHINI CHINA

Baadhi ya mabinti wanaotumikishwa katika biashara hiyo ya ngono. WATANZANIA wanne wametiwa nguvuni jijini Macau nchini China kwa kuwatumikisha mabinti katika biashara haramu ya ngono.
Chanzo:…

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani