WATANZANIA MUWE MAKINI KATIKA KUMPATA RAIS AJAYE
 Rais Dk. Ali Mohamed Shein. KWANZA tumsifu Mungu kwa kuendelea kuwapa moyo wa amani Watanzania, hili ni jambo muhimu kuliko kitu chochote hapa nchini. Nianze kwa kusema kwamba kwa namna ambavyo vyama vya siasa vinaendesha mambo yao na demokrasia iliyomo ndani ya vyama hivyo ndivyo ambavyo vitaendesha nchi ikiwa mgombea urais atachaguliwa na wananchi kuongoza nchi. Tusisahau pia kwamba madaraka hulevya; na hata kiongozi mzuri...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Rais ajaye azingatie mabadiliko katika elimu
WAKATI kukiwa na hamu ya kujua nani atakuwa rais wa awamu ya tano atakayepokea kijiti cha Rais Jakaya Kikwete, bado sekta ya elimu ina changamoto zinazohitaji utatuzi wa haraka.
Moja ya matatizo hayo ni kubadilishwa mitaala ya elimu mara kwa mara kila anapoingia waziri mpya wa elimu, hawazingatii mazingira ya wanafunzi namna watakavyoipokea wanachojali ni kutumikia siasa na matakwa binafsi.
Si wakufunzi tu bali hata wanafunzi hupoteza mwelekeo na mpangilio wa masomo, hivyo kufanya...
11 years ago
Habarileo25 Apr
'Watanzania muwe wavumilivu'
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba William Ngeleja, amesema nchi hivi sasa inapitia wakati mgumu na kuwaomba Watanzania kuwa wavumilivu.
10 years ago
Vijimambo24 Mar
WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI
![](https://www.rafikifoundation.org/CMS/Images/tanzaniamap.png)
11 years ago
Habarileo20 Dec
Harakati za kumpata rais mwanamke zaanza
HARAKATI za kupata rais mwanamke zimeanza baada ya ulingo wa wanawake kutangaza kufanya ushawishi kwenye vyama vyote vya siasa wanawake wenye uwezo wapewe nafasi kugombea.
10 years ago
Uhuru Newspaper24 Oct
JK azungumzia Rais ajaye
NA MWANDISHI WETU, BEIJING
“NINGEPENDA Rais ajaye baada yangu awe bora kuliko mimi.” Ni kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwa mabalozi wa Afrika wanaowakilisha nchi zao nchini.
Rais Kikwete ambaye yuko katika ziara ya kikazi mjini hapa, alitoa kauli hiyo juzi alipozungumza na wawakilishi hao wa Afrika na kuwaeleza hali ilivyo Afrika kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Kilichomsukuma Rais kuzungumzia mustakabali huo wa uongozi wa taifa, ni swali aliloulizwa na mwakilishi wa Nigeria, Sola Onadije, ambaye...
10 years ago
Dewji Blog06 Jun
JK ataja changamoto za rais ajaye
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na viongozi wa jumuiya ya watanzania waishio nchini Sweden jijini Helsinki.
Rais mpya ajaye nchini Tanzania anakabiliwa na changamoto kubwa ya kuhakikisha Tanzania itaendelea kubakia kuwa moja kwa kudumisha Umoja wetu na Amani kwani Tanzania inatokana na muungano wa nchi mbili.
Rais Jakaya Kikwete ameyasema hayo jijini Stockholm – Sweden ambapo alikuwa akiongea na watanzania waishio Sweden mara baada ya kuwasili na kuanza ziara ya kikazi ya siku 3,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vnQhPUwEod2TZrqPTPHOu47iwgzMRIsbF70wGreSVriMNoy1gm2s0j3Y1lE9tBNd21UYkZ8z5qjWJjJo2sFBBcRv3T*1qOCC/jk.jpg)
RAIS KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MUUNGANO
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Rais ajaye anavyoweza kuongeza ajira
10 years ago
Mwananchi11 May
Lissu asema Dk Slaa ni Rais ajaye