Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Harakati za kumpata rais mwanamke zaanza

HARAKATI za kupata rais mwanamke zimeanza baada ya ulingo wa wanawake kutangaza kufanya ushawishi kwenye vyama vyote vya siasa wanawake wenye uwezo wapewe nafasi kugombea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mimute na harakati za kumkomboa mwanamke kiuchumi

VITENDO vya unyanyasaji, ukatili dhidi ya wanawake  ni matokeo ya mila gandamizi ambazo ni kikwazo katika ukombozi wa wanawake kiuchumi,mkijamii na kisiasa. Wanawake wengi hasa waishio vijijini, wamekua wakipigwa ovyo,...

 

9 years ago

Mwananchi

MWAJEMI KALUFYA : Alianza harakati za ukombozi wa mwanamke 1969

Katikati ya kundi la wanawake wanaharakati kutoka vyuo vikuu na wanataaluma, aliibuka Mwajemi Kalufya akitambulishwa kuwa ni miongoni mwa wakongwe waliosaidia kutetea haki za wanyonge, hasa wanawake wenzao.

 

9 years ago

Michuzi

Waraghbishi wa kijiji cha Nyandekwa na Harakati za Kumkomboa Mwanamke

Baadhi ya waraghabishi wa kijiji cha Nyandekwa Wilayani Kahama wakiongea na waandishi wa habari waliofika kijijini hapo kwa ajili ya kujionea matokeo mbali mbali baada ya waraghabishi kuwasaidia wananchi hao kuchukua hatua katika kila jambo kwa maendeleo ya kijiji chao. Mdau Krantz Mwantepele akihoji maswali kwa Dada Miriam Stefano (Aliyejishika tama ) ambaye amekuwa mchango mkubwa kwa kutoa elimu ya uzazi na mabadilko ya mwili kwa vijana wa kike katika baadhi ya shule za sekondari na...

 

9 years ago

GPL

WATANZANIA MUWE MAKINI KATIKA KUMPATA RAIS AJAYE

 Rais Dk. Ali Mohamed Shein. KWANZA tumsifu Mungu kwa kuendelea kuwapa moyo wa amani Watanzania, hili ni jambo muhimu kuliko kitu chochote hapa nchini. Nianze kwa kusema kwamba kwa namna ambavyo vyama vya siasa vinaendesha mambo yao na demokrasia iliyomo ndani ya vyama hivyo ndivyo ambavyo vitaendesha nchi ikiwa mgombea urais atachaguliwa na wananchi kuongoza nchi. Tusisahau pia kwamba madaraka hulevya; na hata kiongozi mzuri...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ray: Napata Wasiwasi Kama Tunaweza Kumpata Rais Kama Kikwete

Napata kigugumizi na mgagasuko mkubwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu, kama tutaweza kumpata Rais atakaye tuthamini kama wewe baba yetu, Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Wewe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa na hao watakaokupokea kijiti chako, nimeilewa sana hotuba yako siku ya leo (jana) hasa pale uliposema Bongo Fleva na Bongo Movie wameitangaza sana nchi yako ya Tanzania kimataifa na kusahau hata yale machungu unayoyapataga kwenye soka tutakukumbuka sana rais wetu

Vicent Kigosi “Ray”...

 

10 years ago

Habarileo

‘Tanzania inahitaji rais mwanamke’

Balozi Amina Salum AllyMGOMBEA Urais wa Tanzania ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Amina Salum Ali amesema wanawake hawana sifa ya ufisadi na ufujaji wa mali za umma na kwamba Tanzania inahitaji Rais Mwanamke.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini rais ajaye awe mwanamke

Wanaharakati nchini wamesema rais ajaye anaweza kuwa mwanamke kutokana na sababu kadhaa, ikiwamo wingi na hamasa waliyonayo wanawake katika upigaji kura.

 

9 years ago

Bongo5

T.I. aomba radhi baada ya kusema mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani!

T.I. amejikuta kwenye kitimoto baada ya kutania kuwa mwanamke hawezi kuwa rais wa Marekani. Baada ya maji kumfika shingoni, rapper huyo ameamua kuomba radhi. Wakati wa interview na DJ Whoo Kid wiki iliyopita, Tip alisema hawezi kumpigia kura Hillary Clinton kwasababu ni mwanamke. “Not to be sexist, but I can’t vote for the leader of […]

 

11 years ago

GPL

MWANAMKE ALIYEMKWAPULIA 20,000/= MWANAMKE MWENZAKE ‘ATAITIWA’ DAR

Umati wa watu ukiwa unashangaa kitendo cha mwanadada (kushoto mwenye kitambaa cha zambarau kichwani) aliyemkwapulia 20,000 mwenzake.  Wengine wakitaka apigwe kama mwizi, wengine wakiomba asamehewe.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani