Waraghbishi wa kijiji cha Nyandekwa na Harakati za Kumkomboa Mwanamke
Baadhi ya waraghabishi wa kijiji cha Nyandekwa Wilayani Kahama wakiongea na waandishi wa habari waliofika kijijini hapo kwa ajili ya kujionea matokeo mbali mbali baada ya waraghabishi kuwasaidia wananchi hao kuchukua hatua katika kila jambo kwa maendeleo ya kijiji chao.
Mdau Krantz Mwantepele akihoji maswali kwa Dada Miriam Stefano (Aliyejishika tama ) ambaye amekuwa mchango mkubwa kwa kutoa elimu ya uzazi na mabadilko ya mwili kwa vijana wa kike katika baadhi ya shule za sekondari na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0lFKpPpe7wo/VoSz8DcAY8I/AAAAAAAAXvw/I_iCk_Y9Nug/s72-c/nyandkewa%2Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.jpg)
Waraghbishi wilayani kahama wapania Kumkomboa Mwanamke
Wanawake ni nguzo muhimu sana katika uchumi wa watanzania wengi. Mwanamke ana ushawishi mkubwa na hasa pale anapoamua kuwa chachu ya maendeleo. Na hasa anapowezeshwa kufanya hivyo.
Katika kufanikisha hili waraghbishi wameamua kutoa mafunzo ya uraghbishi kwa makundi mengine ya jamii. Mojawapo ya kundi hilo ni la wanawake. Waraghbishi wapya toka katika kijiji cha Nyandekwa, kati ya hao wapo 9 ambao ni wanawake.Mmoja wao ni Anna Alphonce, Mwenyekiti wa kitongoji cha...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jul
Mimute na harakati za kumkomboa mwanamke kiuchumi
VITENDO vya unyanyasaji, ukatili dhidi ya wanawake ni matokeo ya mila gandamizi ambazo ni kikwazo katika ukombozi wa wanawake kiuchumi,mkijamii na kisiasa. Wanawake wengi hasa waishio vijijini, wamekua wakipigwa ovyo,...
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
DC: Tunapambana kumkomboa mwanamke
SERIKALI imesema inapambana kuhakikisha inamkomboa mwanamke kutoka kwenye mateso ya kiuchumi. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Wilaya wa Ilemela jijini hapa, Amina Masenza, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mhandisi...
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Angels Moment kumkomboa mwanamke kiuchumi
LICHA ya jamii kuwa katika harakati ya kupiga vita aina zote za unyonyaji na ukandamizaji dhidi ya wanawake, bado hali hiyo inaongezeka na kuendelea kushika kasi nchini. Hali hii hufanya ...
11 years ago
MichuziVodacom kuwekeza zaidi katika kumkomboa Mwanamke
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-4dwNC2OLdss/XmIvc64FLGI/AAAAAAALhdI/wGvCcs6R4dgFdKMAgRMqoerIjLMSfU1eQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-06%2Bat%2B2.05.57%2BPM%2B%25281%2529.jpeg)
UMUHIMU WA KUANDIKA WOSIA ILI KUMKOMBOA MWANAMKE NA FAMILIA.
*Mwanamke ni nguzo imara katika familia hivyo nguzo hiyo inapokosa pahali pa kusimamia huanguka kirahisi na hata kuathiri familia kwa kiasi kikubwa. Hatahivyo kumekuwa na changamoto nyingi za kuwepo kwa...
9 years ago
MichuziAWAMU YA TATU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWAJILI YA KUMKOMBOA MWANAMKE WA KITANZANIA YAANZA DAR
Awamu ya Tatu ya Mafunzo ya Ujarisiamali kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanza leo. Wanawake 35 wa jiji la Dar es salaam Watanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na mtaalamu wa mambo ya Biashara Bw Felix Maganjila na Shekha Nasser. Mafunzo haya yenye lengo la kumwezesha mwanamke wa Kitanzania kuondokana na tatizo la ukossefu wa ajira kwa kujikita katika kujiajiri...
11 years ago
Habarileo20 Dec
Harakati za kumpata rais mwanamke zaanza
HARAKATI za kupata rais mwanamke zimeanza baada ya ulingo wa wanawake kutangaza kufanya ushawishi kwenye vyama vyote vya siasa wanawake wenye uwezo wapewe nafasi kugombea.
9 years ago
Mwananchi11 Oct
MWAJEMI KALUFYA : Alianza harakati za ukombozi wa mwanamke 1969