Watanzania waaswa kutumia vizuri misaada ya wahisani kujikwamua kiuchumi
TASAF yasema Jamii nyingi za kitanzania zitaweza kujikwamua na umasikini kwa kutumia ipasavyo misaada wanayoipata kutoka kwa wahisani na hata mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali kubuni miradi mbalimbali itakayowasaidia kukuza vipato vyao.
Ni katika mpango wa TASAF wilayani Monduli mkoani Arusha wa kulipa kaya masikini katika maeneo mbalimbali nchini ili iweze kuleta tija katika jamii.
baadhi ya wananchi wa wilaya ya monduli katika kijiji cha mlimani waliopata fursa ya kupata ...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
VIJANA WATAKIWA KUTUMIA UJUZI WA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akieleza jambo alipokuwa akikagua kitalu nyumba kilichopo Nangara, Mkoani Babati. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Manyara Bi. Elizabeth Kitundu.

Baadhi ya vijana wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipowatembelea vijana hao kukagua maendeleo ya mafunzo...
10 years ago
MichuziWatanzania waaswa kutumia teknolojia mpya na za kisasa kuzalisha mazao na sekta nzima ya kilimo
5 years ago
MichuziVIJANA WAHAMASISHWA UFUGAJI WA KUKU, KUJIKWAMUA KIUCHUMI
Na. Edward Kondela
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imewapa vifaranga vya kuku 540 kikundi cha vijana wajasiriamali ili kuhamasisha ufugaji utakaosaidia kuziba pengo la uhaba wa nyama ifikapo mwaka 2022 pamoja na kukuza sekta ya kuku nchini.
Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Mazao ya Mifugo na Usalama wa Chakula na Lishe wa wizara hiyo, Bw. Gabriel Bura amekabidhi vifaranga hivyo mwishoni mwa wiki kwa wawakilishi wa kikundi cha vijana watatu wajasiriamali hafla ilifanyika Mbweni jijini Dar es Salaam....
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Wahisani waanza kumwaga misaada
Wakunwa na hatua dhidi ya vigogo Escrow
NA MUSSA YUSUPH
NCHI na mashirika wahisani wameanza mchakato wa kutoa fedha za msaada wa bajeti walizozizuia, kutokana na sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, baada ya kuridhika na hatua zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.
Fedha zitakazotolewa ni sh. bilioni 922, ambazo ni sehemu ya asilimia tano zitakazotumika kusaidia bajeti, ambapo kabla ya kuzuliwa, asilimia 20 ya fedha hizo, zilikuwa zimekwishatolewa kwa serikali.
Akizungumza...
11 years ago
Mwananchi30 Oct
Waziri Mkuya akana wahisani kusitisha misaada
11 years ago
Habarileo10 May
Wakulima wahimizwa kutumia ardhi kujikwamua
PAMOJA na kuwepo kwa ugonjwa wa mnyauko wa migomba mkoani Kagera wananchi wametakiwa kutumia ardhi kujikwamua kiuchumi.
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Vijana waaswa kutumia michezo
VIJANA mkoani Arusha, wameshauriwa kutumia michezo kama sehemu muhimu ya kukuza uhusiano na vipaji walivyonavyo ili kujiepusha na mambo yanayoharibu sifa na haiba zao katika jamii. Ushauri huo umetolewa na...
9 years ago
Mwananchi08 Nov
SAIKOLOJIA : Je unajua namna ya kutumia muda vizuri?