Watanzania wafa wakihiji Makka
AZIZA MASOUD NA BASIL MSONGO (TUDARCO).
MAHUJAJI watano kutoka Tanzania wamekufa juzi wakati wakishiriki ibada ya hija inayofanyika Makka, nchini Saudi Arabia.
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana ilisema kwa mujibu wa taarifa kutoka Ubalozi wa Tanzania nchini humo, mahujaji hao ni miongoni mwa wengine 717 kutoka mataifa mbalimbali waliofariki dunia, huku zaidi ya 800 wamejeruhiwa kutokana na msongamano mkubwa wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo25 Sep
Mamia ya mahujaji wafa kwa kukanyagana Makka
MAHUJAJI wapatao 700 wamepoteza maisha baada ya kukanyagana katika mji wa Mina ulioko nje kidogo ya Makka, ambapo watu 2,000,0000 wana swali ibada ya hija.
9 years ago
GPL
MAHUJAJI WANNE WATANZANIA WAFARIKI, MAKKA
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Watanzania wanne wapoteza maisha kwa mkanyagano Makka
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Watanzania wengi wafa kwa mgonjwa yasiyoambukiza
MAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, amesema Watanzania wengi wanakufa kutokana na magonjwa yasiyoambukiza na mengine kwa kutokufanya mazoezi hivyo kuwa na uzito mkubwa. Dk. Bilal, alitoa kauli hiyo...
9 years ago
Mwananchi13 Oct
Waliokufa Makka
9 years ago
Habarileo15 Oct
Waliokufa hijja Makka wafikia 22
IDADI ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha katika ajali iliyotokea Saudi Arabia imefikia 22.
9 years ago
Habarileo30 Sep
Mahujaji 18 waliopotea Makka watambuliwa
SIKU moja baada ya Serikali kutangaza kuwa mahujaji 50 wa Tanzania waliokuwa katika Mji Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, hawajulikani walipo tangu kutokea kwa tukio la kukanyagana na kusababisha vifo vya watu 769, imesema imepokea majina 18 ya watu ambao hawajulikani walipo.
9 years ago
Habarileo08 Oct
Mahujaji waliofia Makka wafikia 11
SERIKALI imepokea majina matatu ya mahujaji wengine wa Tanzania, waliokufa kutokana na tukio la kukanyagana lililotokea eneo la Mina, katika mji Mtakatifu wa Makka, Saudia Arabia Septemba 24, mwaka huu, hivyo kufanya idadi ya mahujaji wa Tanzania waliopoteza maisha nchini humo kufikia 11.
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Msikiti wa Makka waanguka, waua 65
MAKKA, SAUDI ARABIA
MSIKITI Mkuu wa Makka ambao waumini wa dini ya kiislamu wamekuwa wakiutumia kufanyia Hija umeanguka na kuua watu 65 huku wengine wanane wakijeruhiwa vibaya katika tukio lililotokea jana nchini Saudi Arabia.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC chanzo cha tukio hilo ni winchi lililokuwa linatumika katika ukarabati wa msikiti huo kupata hitilafu na kuangukia jengo la msikiti huo.
Mamlaka za usalama nchini humo zimethibitisha kutokea...