Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wamaliza ziara ya mafunzo Ghana

SAFARI YA GHANA

Meneja wa Radio Kahama FM, Marco Mipawa akikwea pipa mara baada ya ziara ya Mafunzo ya waandishi na viongozi wa vyombo tisa vya habari kutoka Tanzania nchini Ghana.

Na Mwandishi wetu

Ziara ya Mafunzo ya waandishi na viongozi wa vyombo tisa vya habari kutoka Tanzania nchini Ghana, imekuwa ya mafanikio makubwa kufutia timu hiyo kujionea mambo mbalimbali ya muhimu katika uboreshaji wa sekta ya habari nchini.

Meneja wa Radio Kahama FM Marco Mipawa amevifahamisha vyombo vya habari nchini kwamba,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Waandishi Watanzania wamaliza ziara Ufaransa

WAANDISHI wa habari wanne wa Tanzania waliokuwapo nchini Ufaransa kwa mafunzo ya wiki moja wamekamilisha ziara yao kwa kukutana na viongozi mbalimbali wa kisekta nchini humo, kufanya mazungumzo nao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ghana:Mgomo wa madaktari wamaliza wiki 3

Nchini Ghana madaktari wamekuwa katika mgomo wa tangu wiki 3 zilizopita. Hospitali ya mjini Kumasi, mojawapo ya hospitali kuu nchini Ghana sasa imekuwa kama mahame, wengi wa wagonjwa wakilazimika kurudi makwao.

 

10 years ago

Vijimambo

WASAIDIZI WA KISHERIA KATIKA MASOKO MANISPAA YA ILALA, WAMALIZA MAFUNZO YA SIKU 25

Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo.Mkurugenzi Mtendaji  wa Shirika lisilo la Kiserikali la Equality For Growth (EfG), Jane Magigita, akizungumza wakati wa kufunga mafunzo hayo. Kutoka kulia ni Mwakilirishi kutoka Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Doris Gweba, Diwani wa Kata ya Mchikichini Mhe.Riyani na Mgeni rasmi, Leopold Kaswezi.
Mgeni rasmi, Leopold Kaswezi (katikati),...

 

11 years ago

GPL

ASKARI 96 WA TANAPA WAMALIZA MAFUNZO YA AWALI WAAHIDI KUPAMBANA NA MAJANGIRI‏‏

Mkurugenzi mkuu wa TANAPA Allan kijazi akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya kuhifadhi maliasili katika chuo cha wanyama pori cha Mlele mkoani katavi ambao hawapo pichani hapo juzi katika chuo cha wanyama pori cha mlele ambapo wahitimu 96 walihitimu mafunzo ya awali ya wahifadhi wa rasilimali za nchi na aliwataka wafanye kazi kwa uadilifu mkubwa iliwaweze kupambana na kutokomeza ujangiri na kuvunja mitandao ya majangiriya ndani ya...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA

Mchezaji wa Taswa Fc, Julius Kihampa (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo wa Bonanza la 10 la Taswa Arusha dhidi ya timu ya IMS Maji ya Chai, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Mchezaji wa Taswa Queens, Oliver Arbogasti, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Chuo cha waandishi wa Habari cha AJTC wakati wa mchezo wao. Katika mchezo huo Taswa Queens, ilishinda mabao 37 - 3 Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura...

 

10 years ago

GPL

TMF YAFADHILI WANAHABARI TISA KWENDA ACCRA NCHINI GHANA KUPATA MAFUNZO‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Vyombo vya Habari Tanzania (TMF), Ernest Sungura.  Mkufunzi wa Masuala ya Biashara za Habari kutoka Accra Ghana,  Nuamah Eshun (katikati), akizungumza katika hafla ya kuwaaga wanahabari hao Dar es Salaam leo asubuhi, kabla ya kuondoka  kwenda nchini humo kwa mafunzo hayo ya siku 10. Eshun atakuwa ni mmoja wa wakufunzi wa mafunzo hayo. Kulia ni… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani