Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi Watanzania wamaliza ziara Ufaransa

WAANDISHI wa habari wanne wa Tanzania waliokuwapo nchini Ufaransa kwa mafunzo ya wiki moja wamekamilisha ziara yao kwa kukutana na viongozi mbalimbali wa kisekta nchini humo, kufanya mazungumzo nao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania wamaliza ziara ya mafunzo Ghana

SAFARI YA GHANA

Meneja wa Radio Kahama FM, Marco Mipawa akikwea pipa mara baada ya ziara ya Mafunzo ya waandishi na viongozi wa vyombo tisa vya habari kutoka Tanzania nchini Ghana.

Na Mwandishi wetu

Ziara ya Mafunzo ya waandishi na viongozi wa vyombo tisa vya habari kutoka Tanzania nchini Ghana, imekuwa ya mafanikio makubwa kufutia timu hiyo kujionea mambo mbalimbali ya muhimu katika uboreshaji wa sekta ya habari nchini.

Meneja wa Radio Kahama FM Marco Mipawa amevifahamisha vyombo vya habari nchini kwamba,...

 

9 years ago

Vijimambo

TASWA FC, TASWA QUEENS WAMALIZA ZIARA YAO YA MKOA WA ARUSHA NA TANGA BILA KUFUNGWA

Mchezaji wa Taswa Fc, Julius Kihampa (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo wa Bonanza la 10 la Taswa Arusha dhidi ya timu ya IMS Maji ya Chai, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya 1-1.Mchezaji wa Taswa Queens, Oliver Arbogasti, akimdhibiti mchezaji wa timu ya Chuo cha waandishi wa Habari cha AJTC wakati wa mchezo wao. Katika mchezo huo Taswa Queens, ilishinda mabao 37 - 3 Nahodha wa timu ya Taswa Queens, Zuhura...

 

5 years ago

Michuzi

MASENETA WA UFARANSA KUFANYA ZIARA NCHINI


Ujumbe wa maseneta sita (6) kutoka Ufaransa unatarajiwa kufanya ziara nchini kuanzia tarehe 01 hadi 08 Machi, 2020.  
Ujumbe huo utawasili nchini tarehe 29 Februari, 2020 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume Zanzibar utaongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Ufaransa inayoshughulikia masuala ya Maendeleo Endelevu na Naibu Rais wa Kikundi cha Kirafiki na nchi za Bahari ya Hindi Seneta Harve Maurey.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ziara ya mfalme wa Saudia Ufaransa yazua Ubishi

Ubishi wazuka nchini Ufaransa baada ya ufukwe wa umma kufungwa ilikumhakikishia mfalme wa Saudi Arabia usalama wake

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungungumza na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika kwenye Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa, Bw. Jean Christophe Belliard wakati wa ziara yake ya kikazi nchini humo.Mhe. Dkt. Maalim (katikati)  akiwa na Mhe. Begum Taj (kulia), Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa wakati wa mkutano wao na Bw. Arnaud de Lamotte, Makamu wa Rais wa Kituo cha Biashara cha Kimataifa na Huduma za Serikali wa...

 

10 years ago

Michuzi

MH. KAMANI AKAMILISHA ZIARA NCHINI UFARANSA KWA KUTEMBELEA BANDARI YA UVUVI

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani (Mb) alipotembelea Bandari ya Uvuvi ya Boulogne (Port de Boulogne Sur Mer) ambayo ni ya tatu kwa ukubwa Barani Ulaya. Bandari ina eneo la Ha.150 ambalo lina huduma zote muhimu kwa sekta ya uvuvi ikiwa ni pamoja na mnada wa samaki, viwanda vya kuchakata samaki, maabara ya kuhakiki ubora wa mazao ya samaki, Taasisi ya utafiti na mafunzo kwa wavuvi na wasindikaji wa samaki.
Mhe. Dkt. Kamani akiwa katika mnada wa samaki na kupatiwa maelezo...

 

10 years ago

Michuzi

Fastjet yafadhili ziara ya waandishi wa habari wa Tanzania nchini Zimbabwe

IMG_2921Waandishi wa habari kutoka Tanzania waliosafirishwa na Shirika la ndege lenye gharama nafuu nchini Fastjet kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Shanganai yanayoendelea nchini Zimbabwe. Kutoka kushoto ni Timothy Kitundu (East Africa Business Week), Mariam Said (Daily News) pamoja na Justin Damiana (The African) wakiwa wameketi kwenye mapango ya Chinhoyi huku wakibadilishana mawazo na wadau wa utalii kutoka Afrika Kusini.IMG_3430Kutoka kushoto ni Victoria Siphiwe Mamvura Gava, Cherry Sibanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani