WATANZANIA WAMEANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA JNHPP
Veronica Simba – Dodoma
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amesema kuwa mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) umeanza kuwanufaisha Watanzania hata kabla ya kukamilika.
Ameyasema hayo kwa njia ya simu, leo Juni 22, 2020 alipofanya mahojiano na mwandishi wa habari hii kuhusu ziara ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliyoifanya Juni 20, mwaka huu kukagua maendeleo ya Mradi huo ulioko Rufiji, mkoani Pwani.
Mhandisi Said...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA JNHPP
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nishati Dkt. Medad Kalemani, wakati alipokagua hatua za utekelezaji wa mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP)...
10 years ago
Habarileo12 Mar
Halmashauri 14 kunufaika mradi kupunguza umasikini
HALMASHAURI 14 za Mikoa ya Arusha na Njombe zinatarajiwa kunufaika na Mradi na Kupunguza Umasikini Mradi na Kupunguza Umasikini awamu ya tatu unaofadhiliwa na Mfuko wa Umoja wa Nchi zinazozalisha Mafuta Duniani (OPEC), unaotekelezwa chini ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Mkoa wa Mbeya kunufaika na mradi wa EADD
Mfugaji wa Heifer International Tanzania akitoa maelezo kwa Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International, Bw. Steve Denne (mwenye kofia) alipotembelea miradi inayofadhiliwa na shirika hilo.
Na. Mwandishi Wetu
WAKAZI wa mkoa wa Mbeya wanatarajiwa kunufaika zaidi kwa mradi wa Uendeshaji Sekta ya Maziwa Afrika Mashariki (EADD) uliochini ya shirika la kimataifa la Heifer.
Makamu wa Rais wa Shirika la Heifer International, Bw. Steve Denne, aliyasema hayo hivi karibuni alipomtembelea Mkuu wa...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Wakulima wa mpunga Igunga kunufaika na mradi wa samaki
WAKULIMA wa zao la mpunga Kanda ya Kati, wanatarajia kunufaika na mfumo mpya wa serikali wa kuwaanzishia ujenzi wa Chuo cha Ufugaji Samaki kwa lengo la kuwaongezea kipato. Mkurugenzi Msaidizi...
10 years ago
MichuziShule ya sekondari Manzese kunufaika na mradi wa Biogas
5 years ago
MichuziTabora Waanza Kunufaika na Mradi wa Maji Ziwa Victoria
Na. Immaculate Makilika- MAELEZO
Mradi wa maji kutoka ziwa Victoria umeanza kufanya kazi na kuwanufaisha wananchi ambao wamepitiwa na mradi huo katika mkoa wa Tabora, na unatarajiwa kunufaisha wakazi wakazi Milioni 1.8 utakapokamilika.
Akizungumza na Waandishi wa habari leo jijini Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi amesema mradi huo unaogharimu shilingi bilioni 600 utawanufaisha wakazi wa vijiji zaidi...
10 years ago
MichuziWANAFUNZI WA KAMBANGWA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA KOMPYUTA WA VODACOM NA SAMSUNG
9 years ago
StarTV13 Nov
Vijiji vinne vya wilayani Muheza kunufaika na mradi wa maji
Vijiji vinne vya Milingano, Muungano, Kibaoni na Upare wilayani Muheza mkoani Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji unatarajiwa kukamilika Desemba mwaka huu.
Mradi huo ambao unagharimu zaidi ya shilingi bilioni moja utahudumia wakazi zaidi ya elfu saba.
Mradi wa maji wa kijiji cha Mlingano ambao chanzo chake kimeanzia katika mto Zigi uliopo wilayani Muheza mkoani Tanga.
Wananchi wa maeneo hayo wanauona mradi huo kama almasi baada ya kusumbuka kwa muda mrefu wakifuata huduma hiyo mto...
10 years ago
MichuziWatanzania kunufaika zaidi na Gesi Asilia
KUTOKANA na kugundulika kwa hazina kubwa ya gesi nchini ambayo inategemewa kukuza pato la taifa zaidi ya mara 15 ya sasa, kiasi cha kuiwezesha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.
Hata hivyo, dhana ya kwamba Rais ajaye baada ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake, anaweza akaikuta Tanzania ikiwa ni nchi tajiri tayari kutokana na rasilimali...