Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Watanzania wavivu kunywa maziwa’

Kila Mtanzania anatakiwa kunywa lita 200 za maziwa na siyo 46 za sasa kwa mwaka mmoja ili kuondoa sumu mwilini na kujenga afya imara, ilielezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Washauriwa kunywa maziwa ya mbuzi

WATANZANIA wameshauriwa kujenga tabia ya kunywa maziwa ya mbuzi, kutokana na kuwa maziwa hayo, yana ubora na ni mazuri kutumiwa hasa kwa watoto, wazee na wagonjwa wa vidonda vya tumbo wakiwemo wenye virusi vya Ukimwi.

 

10 years ago

Habarileo

8 hoi kwa kunywa maziwa yenye sumu

WATU wanane wa familia tatu tofauti, wakiwemo wanafunzi wa shule ya msingi, wamelazwa katika Hospitali ya Misheni ya Malkia wa Ulimwengu Puma wilayani Ikungi mkoani hapa baada ya kunywa maziwa yanayodhaniwa kuwa na sumu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Baadhi ya wakenya kunywa maziwa, soda na vitafunio katika mazishi ya Moi?

Serikali ya Kenya itatoa viburudisho kwa waombolezaji 30,000 wa kwanza kufika katika mazishi ya rais wa zamani wa Kenya Daniel arap Moi siku ya Jumatano

 

10 years ago

GPL

CHAMA CHA CCM IRINGA CHAWASHANGAA CHADEMA KUZUIA WANACHAMA WAKE KUNYWA MAZIWA

Katibu  wa  CCM  mkoa  wa Iringa, Bw.Hassan Mtenga.   CHAMA  cha mapinduzi (CCM) mkoa  wa Iringa chakishangaa chama cha demokrasia na maendeo (CHADEMA) kwa  kuwazuia  wanachama  wake  mjini Iringa  kunywa maziwa  ya  Asas Dairies Ltd Akizungumza na  waandishi  wa habari  ofisini  kwake jana katibu  wa  CCM  mkoa  wa Iringa  Hassan Mtenga  alisema ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania hawanywi maziwa’

BODI ya Maziwa nchini kwa kushirikiana na Shirika Heifer International, limeanzisha mpango maalumu wa kuhamasisha unywaji wa maziwa baada ya kubainika kuwa Watanzania wengi hawana utamaduni huo. Katika kuhakikisha mpango...

 

5 years ago

Michuzi

DC KATAMBI, BODI YA MAZIWA WAGAWA MAZIWA KWA WATU WENYE UHITAJI JIJINI DODOMA

Charles James, Michuzi TV

WATANZANIA wametakiwa kujiwekea Utamaduni wa kunywa maziwa kwa wingi na siyo kusubiri mpaka waandikiwe na Daktari kwani unywaji wa maziwa hujenga afya.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi leo wakati wa ziara yake ya kugawa maziwa kwa watu wenye mahitaji kwa kushirikiana na Bodi ya Maziwa ambapo wamegawa maziwa Lita 1650 yenye thamani ya Sh Milioni Nane.

DC Katambi amesema Ofisi yake itaendelea kuhamasisha unywaji wa maziwa pamoja na kutoa...

 

11 years ago

Michuzi

Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa

Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele (kushoto) akitembelea banda la Shirika la Heifer International Tanzania katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Mfugaji wa Shrika la Heifer, Emannual Mgesi (aliyevaa Kaunda suti nyekunde) akimweleza Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Joh Henjewe pamoja na wakazi wengine wa Musoma kuhusu ufugaji bora wa ng’ombe wakati wa maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni. Meneja wa...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI ULEGA AZINDUA WIKI YA MAZIWA, KUANZISHA KAMPENI YA KUKAGUA WANAOKUNYWA MAZIWA YA UNGA

Charles James, Michuzi TV

SERIKALI imesema itaanzisha kampeni ya kukagua Ofisi za Umma na binafsi ambazo zinatumia maziwa ya unga badala ya maziwa halisi yanayotengenezwa nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega leo jijini Dodoma wakati akizindua wiki ya maziwa nchini ambayo itafanyika hadi Juni 1.

Naibu Waziri Ulega amesema ni jambo la aibu kuona watanzania wakitumia maziwa ya unga na kuacha yale yanayotengenezwa na watanzania wenzao jambo ambalo amesema...

 

11 years ago

Michuzi

MAZIWA YA ASAS DAIRIES LTD NDIO MAZIWA BORA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UBORA KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO ,MAKAMPUNI 30 YAACHWA MBALI

Afisa masoko wa kampuni ya maziwa ya Asas  Dairies Ltd ya mkoani Iringa Bw Jimy Kiwelu akishangilia baada ya  kampuni yake  kuwa ndio kampuni  bora ya uzalishaji maziwa nchini Tanzania katika mashindano yaliyofanyika mkoani mara Watoto  wa mkoa wa Mara  wakishangaa ubora wa maziwa ya Asas kutoka Iringa Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Kamani kulia na  viongozi  wengine wakifuatilia maonyesho hayo huku  wakifurahia ubora wa maziwa ya Asas Dairies Ltd.
Picha zaidi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani