Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wengi wanamiliki hisa

Utafiti mpya wa kampuni 100 bora zenye ukubwa wa kati umebaini kuwa asilimia 73 ya wafanyakazi wake ni Watanzania wanaomiliki asilimia 55 ya hisa zote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UHAMISHAJI FEDHA: ‘Watanzania 99 wanamiliki Sh193 bil Uswisi’

>Ripoti iliyotolewa na Timu ya Wanahabari wa Kimataifa wanaoandika Habari za Uchunguzi (ICIJ), imesema Watanzania 99 wanamiliki Dola za Marekani 114 milioni (Sh193 bilioni) kwenye akaunti za benki nchini Uswisi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wengi bado wana kigugumizi kuwekeza fedha soko la hisa

Wengi hawaamini kwamba kupitia soko la hisa, mtu anaweza akawa na kipato kizuri kinachoingia bila kufanya kazi bali fedha yake ndiyo inayomtumikia kwa kumzalishia faida mara dufu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ununuzi wa hisa kwa Watanzania ni mdogo

WATANZANIA 200,000  ambao ni sawa  na asilimia moja ndio wanaomiliki kampuni kubwa 18 hapa nchini baada ya kununua dhamana kutoka Soko la Hisa la Dar es Salaam ( DSE). Ofisa...

 

11 years ago

Michuzi

Watanzania Wachangamkie Soko la Hisa la Afrika Mashariki

Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, Emanuel Ng'ui, akizungumza na wenye hisa wa CRDB Bank, katika semina ya uhamasishaji kuhusu matumizi ya Hisa. Mkurugenzi wa CRDB Bank, PLC, Tawi la Lumumba, John Almasy, akizungumza na Meneja wa Hisa wa Benki ya CRDB Makao Makuu, na Mkurugenzi wa CRDB, Tawi la Vijana, Pelesi Fungo, wakati wa semina hiyo.
Umetolewa Mwito kwa Watanzania kuchangamkia fursa za uwekezaji kwa ununuzi wa hisa katika soko la hisa la Jumuiya ya Afrika linalotarajiwa...

 

9 years ago

StarTV

Watanzania washauriwa kuwekeza katika Hisa Kukuza Mtaji

Watanzania wameshauriwa kujenga utamaduni wa kuwekeza katika hisa na kutumia fursa za kibenki kwaajili ya kujiwekea akiba ya matumizi ya baadaye ili kuondokana na mazingira magumu ya kiuchumi.

Takwimu zinaonesha kuwa, mataifa mbalimbali yaliyoendelea duniani, yameweza kuwa na uchumi imara kutokana na uwekezaji katika sekta binafsi na ushirikishwaji wa  wananchi katika shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Katika mkutano wa 10 wa mwaka wa Mfuko wa Umoja wa kampuni ya Uwekezaji Tanzania (UTT) wenye...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA MKOMBOZI YATANGAZA MAUZO YA AWALI YA HISA ZAKE,YAWAOMBA WATANZANIA WAJITOKEZE KUZINUNUA

Pichani kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Mkombozi,Bwa Masha J. Mshomba akizungumza mbele ya Wanahabari (hawapo pichani),Mwishoni mwa wiki jijini Dar, kuhusiana na kuwafahamisha Watanzania kuhusu mauzo ya awali ya hisa za benki  yao ya Mkombozi,ikiwemo pia na kuwaomba Watanzania washiriki katika ununuzi wa hisa za Benki hiyo ya Mkombozi,shoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Mkombozi  Bwan. Edwina Lupembe.

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malaria kuumiza Watanzania wengi

IMEELEZWA kuwa asilimia 91 ya Watanzania wapo hatarini kupata ugonjwa wa malaria kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo mazingira wanayoishi. Takwimu hizo zilibainishwa na Kaimu Meneja wa Mpango wa Taifa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani