Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UHAMISHAJI FEDHA: ‘Watanzania 99 wanamiliki Sh193 bil Uswisi’

>Ripoti iliyotolewa na Timu ya Wanahabari wa Kimataifa wanaoandika Habari za Uchunguzi (ICIJ), imesema Watanzania 99 wanamiliki Dola za Marekani 114 milioni (Sh193 bilioni) kwenye akaunti za benki nchini Uswisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Huduma ya Tigopesa na WorldRemit wamerahisisha uhamishaji wa fedha kimataifa kwa Watanzania wanaoishi nje ya nchi

tigopesa

Huduma ya kifedha kwa kutumia njia ya simu ya mkononi ya Tigo ijulikayo kama Tigo Pesa inashirikiana na kampuni ya Worldremit ya Uingereza inayofanya huduma za kuhamisha fedha kwa njia ya mtandao ili kuwawezesha watanzania waishio nje ya nchi kutuma fedha moja kwa moja kuja kwa ndugu, jamaa na marafiki waishio Tanzania kwa kupitia simu zao za smartphone, tablets na tarakilishi.

Akitangaza wakati wa uzinduzi huo leo jijini Dar es Salaam, Mkuu wa huduma ya kifedha wa simu za mkononi za Tigo...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkuya: Siyo kosa Watanzania kuweka fedha Uswisi

Hata hivyo, amsema serikali inaangalia ripoti ya Swiss Leaks ili kuona uhalali wa akaunti hizo za siri.

“Sisi hatujaona kama ni kosa kwa Watanzania kuwekeza fedha zao kwenye mabenki ya nje na wala isionekane kama ni jambo haramu kabisa.

Kama serikali tungetamani wawekeze kwenye benki nchini ili kukuza sekta ya fedha lakini pia hatuwafungi kutowekeza nje,” alisema.

“Tunachofanya ni kuiangalia hiyo ripoti ili kujua ukweli wa taarifa hizo, lakini taarifa hiyo haimaanishi kwamba ni kosa kubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Watanzania wengi wanamiliki hisa

Utafiti mpya wa kampuni 100 bora zenye ukubwa wa kati umebaini kuwa asilimia 73 ya wafanyakazi wake ni Watanzania wanaomiliki asilimia 55 ya hisa zote.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azungumza na Watanzania waishio Uswisi


 kRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio  Switzerland katika hoteli ya Intercontinental jijini Geneva-Julai 16, 2015.
mail.google.com9Watanzania waishio Switzerland.
j
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ofisi ya mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Mataifa  Geneva jana baada ya kuzungumza nao na kisha kupata futari katika Hoteli ya Intercontinental jijini Geneva ...

 

11 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO GENEVA-USWISI (TAS) WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI

Chama cha Watanzania waishio Geneva wametoa mchango wa vifaa ikiwa pamoja na tank la kuhifadhia maji,viti na meza za kusomea, jiko la gesi na mtungi wa Gesi ili kusaidia watoto wa kituo cha Amani Orphanage Centre.  Msaada huo uliwasilishwa kwa niaba ya TAS na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania Dkt Agnes Kijazi. Akiwasilisha mchango huo kwa niaba ya TAS. Dkt Kijazi alielezea upendo walionao watanzania hao kwa kuwakumbuka watoto wa kituo cha Amani. Alisema upendo huo ni...

 

9 years ago

Habarileo

Fedha hainunui Watanzania -JK

MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema ujivuni wa fedha sio mali kitu, kwani mtu anaweza kununua watu wachache kwa tamaa na njaa zao, lakini hawezi kukinunua chama chote.

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waonywa urais wa fedha, udini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amewataka Watanzania kuwapuuza wanasiasa wenye kutaka kutumia fedha, dini, ukabila na aina yoyote ya ubaguzi kujijengea uhalali na kuombea kura katika uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kulikoni Watanzania tudharau fedha yetu

Bado hainiingii akilini kuona Tanzania inaendelea kujali zaidi noti au fedha za kigeni. Inashangaza kuona tunashindwa kuthamini shilingi yetu, badala yake tunashabikia matumizi holela ya fedha za Marekani ambayo kwa sasa ni kawaida kuona ikitumiwa hata katika baadhi ya Baa na Migahawa nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti: Watanzania wengi wanatunza fedha nyumbani

 Asilimia 70 ya Watanzania wanatunza fedha zao nyumbani badala ya mfumo rasmi ukiwamo benki na huduma nyingine za fedha, imebainika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani