Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watawala wezi wakivumiliwa, nchi itatawaliwa na jeshi la waporaji

NIMEANDIKA kwamba sifa mojawapo ya nchi ambayo in taifa ni kwamba wakuu wa nchi hiyo, wakiwa wezi, wJenerali Ulimwengu

Raia Mwema

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ESCROW: WATAWALA WAWAJIBIKIE UDHAIFU, WEZI WATAFUATA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe akikazia hoja. YATOKANAYO na sakata la uchotwaji wa fedha kwenye akaunti maalum ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ni mengi, lakini kubwa ni kuvuliwa nguo kwa utawala wa nchi. Akichangia bungeni hivi karibuni, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alisema mambo ya Escrow yalipaswa yafanyike kwenye nchi zisizokuwa na udhibiti wa dola, akitolea mfano Kongo na Somalia....

 

10 years ago

Mwananchi

Unyanyasaji wa kijinsia “Tuwatume wezi wawakamate wezi wenzao”

Kuna usemi wa wahenga usemao “mchawi mpe mwana alee”. Usemi huu una maana kwamba ili umbane na mtu unayehisi ni adui yako, kuwa naye karibu.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.

 Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, taarifa ya ujenzi la Jengo laa  linalotarajiwa kuwa Makao Makuu ya Jeshi hilo, alipotembelea Ofisi za Jeshi hilo zilizoko TAZARA ,jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza  na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),...

 

11 years ago

Dewji Blog

WAZIRI Muhongo amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo kulipwa fidia ni wezi sawa na wezi wa maofisini wa mali za Umma

DSC07688

Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na Naibu Waziri wa Fedha, Mh. Mwingulu Nchemba, akizungumza kwenye mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.Wa kwanza kulia ni Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo na wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Yahaya Nawanda.

Na.Nathaniel Limu-Singida

WAZIRI  wa NIishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (MB), amesema wananchi wanaotoa taarifa za uongo ili waweze kulipwa fidia wakati hawastahili, ni wezi sawa na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Napendekeza nchi moja, amiri jeshi mmoja

NILIWASHANGAA waliokuwepo bungeni, hao walioitwa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambao kwa sasa wapo kwenye mapumziko hadi Agosti litakapoanza tena. Ukweli nilikuwa siwaelewi, hasa waliposema eti wao ni waumuni...

 

10 years ago

StarTV

Jeshi kukabidhi nchi raia Burkina Faso.

Jeshi nchini Burkina Faso lililochukua madaraka ya nchi hiyo limesema litarejesha madaraka kwa wananchi kwa njia ya kidemokrasia .

 
Kiongozi aliyechaguliwa na jeshi hilo kuongoza kwa muda Luteni Kanali Isaac Zida amewaambia wanadiplomasia kuwa pande zote mbili zitashirikishwa katika mchakato wa kumpata kiongozi wa kudumu wa taifa hilo.

 
Hata hivyo mkutano wa viongozi wa bara la Afrika uliofanyika mjini Adis Ababa umetoa wito kwa serikali ya muda inayoongozwa kijeshi kukabidhi madaraka kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Lukuvi: Tukipitisha serikali tatu jeshi litatawala nchi

>Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge), William Lukuvi ameanza kampeni kanisani kuwataka wananchi kupinga serikali tatu zilizopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba, vinginevyo nchi itatawaliwa na jeshi kwa kuwa Serikali ya Muungano itashindwa kuwalipa mishahara wanajeshi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News!: Jeshi lachukua Nchi Burundi, Rais Nkurunzinza akiwa Tanzania

_82974623_027185739-1Pierre Nkurunziza -Pichani

 Na MASHIRIKA YA HABARI

Ripoti kutoka Bujumbura, nchini Burundi zinasema kuwa kamanda mmoja wa kijeshi ametangaza kuwa hamtambui tena Pierre Nkurunziza kama rais wa Burundi.

Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amewaambia waandishi wa habari mjini Bujumubura, kuwa kumeundwa kamati maalum ya kuiokoa Burundi itakayotawala taifa hilo kwa kipindi cha mpwito.

Kulingana na taarifa iliyopeperushwa na redio Isanganiro, serikali ya Nkurunziza imeon’golewa madarakani.

Meja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani