Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATAZAMAJI 59,325 WAINGIZA MILION 545 - TFF

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Jumla ya watazamaji 59,325 wameweza kuingia na kuangalia mchezo wa Ligi Kuu Tanzania bara kati ya Yanga na Simba katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Mapato ya mchezo huo ni Milioni 545.4 (545, 422,000) kwa tiketi za VIPA, B &C , machungwa na Mzunguko.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) limetoa taarifa ya mapato ya mchezo namba 270 kati ya Yanga na Simba uliochezwa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo uliokuwa unasubiriwa kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Waliokunywa pombe ya sumy wafikia 325

Togwa

Togwa

Na Amon Mtega, Songea

IDADI ya wakazi  wa Kijiji cha Litapwasi Wilaya ya Songea  mkoani Ruvuma waliolazwa hospitalini wakidaiwa kunywa togwa yenye sumu imeongezeka kutoka 246   kufikia 325.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Mihayo Msikhela, alisema jana wanakijiji hao wamelazwa katika   Hospitali ya Peramiho na zahanati ya Lyangweni iliyopo kijijini hapo.

Alisema kutokana na tukio hilo jeshi la polisi linawashikilia watuhumiwa kadhaa  huku baadhi ya wagonjwa wakiruhusiwa kurudi makwao...

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimbaji waingiza Sh1 bil

Mrabaha unaolipwa na wachimbaji wadogo wa dhahabu wanaotumia teknolojia ya VAT Leaching, mikoa ya Mwanza na Geita umeongezeka kutoka Sh7.67 milioni mwaka jana hadi Sh44.51 milioni mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

KNCU WAINGIZA MTAMBO MPYA WA KUKOBOLEA KAHAWA

Mtambo mpya wa kisasa wa kukobolea Kahawa ulionunuliwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa zao la Kahawa mkoani Kilimanjaro kwa gaharama za dola laki 9.48 ukishushwa katika kiwanda.
Mota ya kuzungusha mashine wakati wa ukoboaji ikishushwa ikiwa ni sehemu ya mtambo mpya wa kukobolea Kahawa utakaofungwa katika kiwanda cha Cofee Curing.

BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

PWANI WAINGIZA MABILIONI YA FEDHA KUPITIA MISITU

Na John Gagarini, BagamoyoMKOA wa Pwani umefanikiwa kukusanya kiasi cha zaidi ya shilingi bilioni nane kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika kipindi cha mwaka 2013/2014.
Hayo yalisemwa juzi wilayani Bagamoyo na Ofisa Misitu wa mkoa huo Daniel Isara, wakati wa maadhimisho ya upandaji miti kimkoa iliyofanyika kwenye eneo la la Gareza la Kigongoni ambapo ilipandwa zaidi ya miti 3,000.
Isara alisema kuwa fedha hizo zimetokana na kukabiliana na uharibifu wa rasilimali misitu na...

 

5 years ago

Michuzi

LIGI TANZANIA KUCHEZWA BILA WATAZAMAJI

KIKAO cha Kamati ya Uongozi cha TFF kimeazimia kuwa, baada ya siku 30 serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za ligi kuu, ligi daraja la kwanza, ligi daraja la pili na ligi ya mabingwa wa mikoa (RCL) zitachezwa bila watazamaji, ili kudhibiti kusambaa kwa virusi vya Corona.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo mara baada ya kikao hicho ambacho kimehudhuriwa pia na Rais wa TFF, Wallace Karia.
Kasongo amesema pia kuwa wachezaji wote watafanyiwa...

 

9 years ago

Bongo5

‘Hello’ ya Adele yafikisha watazamaji zaidi ya Milioni 700 Youtube

adele-25-cover

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2015, muimbaji kutoka Uingereza, Adele anaendelea kufanya vizuri kutokana na album yake mpya ‘25’.

adele-25-cover

Ikiwa zimebaki siku nne video ya hit single yake ‘Hello’ ifikishe mwezi mmoja toka ilipowekwa kwenye mtandao wa Youtube, tayari imetazamwa zaidi ya mara milioni 700.

Mpaka sasa video ya wimbo huo unaopatikana kwenye album yake mpya ‘25’ ina views 739,530,188.

2015 umekuwa ni mwaka mzuri kwa Adele ambaye alikaa kimya kwa miaka mitatu toka alpoachia album yake...

 

10 years ago

Michuzi

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM

Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao(Kushoto)akihakiki namba ya simu ya mshindi wa promosheni ya JayMillions anayoonyeshwa na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Katikati)wakati wa kuchezesha droo ya 13 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Mkazi wa Magu James Mangu amejishindia kitita cha shilingi Milioni 10/-anaeshuhudia kulia ni Afisa wa kampuni hiyo Pristin Lyatonga.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda...

 

10 years ago

GPL

MJASIRIAMALI AJISHINDIA MILION 10 ZA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM‏

Mkurugenzi wa kampuni ya Mobile Solution,Dimitrios Lintis(katikati)akiwaonyesha namba ya mshindi wa Promosheni ya JayMillions Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Tanzania Mrisho Millao na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Kulia) wakati wa kuchezesha droo ya 13 iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam ambapo Mkazi wa Magu James Mangu amejishindia kitita cha shilingi Milioni 10/- Ili mteja kujua kama ameshinda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani