Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wateja wa Airtel waendelea kujishindia pesa taslim kila wiki

 Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana  Isack Willson Mrema   kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Emmanuel Raphael (kulia)  akimpongeza bwana   Josephat Sagati   (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi   katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUJISHINDIA PESA TASLIM KILA WIKI‏

Afisa mauzo wa Airtel Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Bwana Isack Willson Mrema kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Meneja mauzo wa Airtel bwana Emmanuel Raphael (kulia) akimpongeza bwana Josephat Sagati (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUJISHINDIA MAMILIONI YA PESA

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde (kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ya Airtel 'Jiongeze na Mshiko' itakayomuwezesha mteja wa mtandao huo kujishindia mamilioni ya pesa kwa njia ya SMS. Katikati ni Meneja wa Huduma za Ziada wa Airtel, Prisca Tembo na ofisa Huduma za Ziada, Fabian Felician. Meneja wa Huduma za Ziada wa Airtel, Prisca Tembo (katikati), akizungumza na...

 

5 years ago

Michuzi

Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda

Tigo Tanzania, kampuni inayoongoza kwa ubunifu wa Kidigitali nchini, leo imezindua huduma inayowawezesha watumiaji wote wa Tigo Pesa nchini Tanzania kuweza kutuma na kupokea pesa kupitia simu zao za mkononi kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN za nchini Rwanda.
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...

 

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa ofa kwa wateja wake itakayowawezesha kutuma pesa kiasi chochote cha pesa kupitia huduma ya Airtel Money bure. Pichani ni Stephen Kimea Meneja kitengo cha Airtel Money (kushoto) na Aliesikia Peter Afisa kitengo cha Airtel Money. Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando (katikati) pamoja na Meneja kitengo cha Airtel...

 

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL WAZIDI KUSHIDA MAMILIONI YA PESA

Ofisa Uhusiano na Matukio wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kushoto) akimkabidhi mshindi wa droo ya sita ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”, Rajabu Mwalapinga (kulia), mkazi wa Dar es Salaam, shillingi millioni tatu.  Ofisa uhusiano na matukio, Bi Dangio Kaniki akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya saba ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel kutoka...

 

9 years ago

GPL

WATEJA WA AIRTEL KUTUMA PESA BURE‏

Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando akionge na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa ofa kwa wateja wake itakayowawezesha kutuma pesa kiasi chochote cha pesa kupitia huduma ya Airtel Money bure. Pichani ni Stephen Kimea Meneja kitengo cha Airtel Money (kushoto) na Aliesikia Peter Afisa kitengo cha Airtel Money. Meneja Uhusiano wa Airtel , Jackson Mmbando (katikati) pamoja na Meneja kitengo cha Airtel Money, Stephen...

 

10 years ago

Michuzi

WATEJA WA AIRTEL WAENDELEA KUNUFAIKA NA TOYOTA IST ZA YATOSHA ZAIDI

Staff Sargent wa Polisi wilaya ya hanang, Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya Toyota IST Bwn Mohamed Ahmed Khamisi mara baada kuibuka mshindi wa droo ya wiki ya nne ya promosheni ya Airtel yatosha Zaidi. Bi Emiliana ni mfanya biashara ndogo ndogo na mkazi wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara akishuhudia ni meneja mauzo wa Airtel kanda ya kaskazini bwana Brighton Majwala.Staff Sargent wa Polisi wilaya ya hanang, Janet Mungolya akimkabithi funguo mshindi wa gari aina ya...

 

9 years ago

Michuzi

Wateja wa Airtel kushinda mamilioni ya pesa kupitia promosheni ya “Airtel MKWANJIKA”

Meneja uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando pamoja na Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga kwa pamoja wakizindua promosheni mpya ya “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.Meneja Masoko wa Airtel Bi Anethy Muga akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa promosheni mpya ijulikanayo kama “Airtel MKWANJIKA” itakayowawezesha wateja wote wa Airtel nchi nzima kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo Pesa kuvuna faida ya bilioni 3.3 kwenye malipo ya kila robo mwaka

4322-tigo

Kampuni ya Tigo Tanzania imetangaza malipo ya faida ya hisa za tigo pesa kwa wateja wake katika robo mwaka mwingine, malipo haya ni jumla ya kiasa cha pesa bilioni 3.314 sawa na dola za kimarekani milioni 1.8. Huu ni ugawaji wa faida ya robo ya pili kwa mwaka huu.

Lengo letu ni kuhakikisha kuwa wadau wote wa Tigo Pesa, ambao ni pamoja na wateja binafsi, mawakala wa reja reja na washirika wetu wa kibiashara ambao watashiriki kwenye gawio la faida hii ni kutokana na thamani ya kietronikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani