Watendaji watuhumiwa kuua
Jeshi la polisi linawashikilia watu sita, wakiwamo watendaji wawili kwa tuhuma za kumuua mkazi wa Kijiji cha Igwamadete, Kata ya Iseka, wilayani Manyoni, Tatu Anderson (40) .
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Aug
7 watuhumiwa kuua albino
JESHI la Polisi mkoani Simiyu limewakamata watu saba wanaotuhumiwa kuhusika na kifo cha mlemavu wa ngozi, Munghu Mugata (40) aliyeuawa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwake usiku wa Mei 12 mwaka huu katika kijiji cha Gasuma, Kata Mwaubingi wilayani Bariadi.
11 years ago
Habarileo28 May
Watu saba watuhumiwa kuua polisi 2
WATU saba wamekamatwa na Polisi mkoani Tabora wakituhumiwa kuhusika katika mauaji ya askari Polisi wawili na unyang’anyi wa kutumia silaha, yaliyofanyika mwezi uliopita.
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Sungusungu watuhumiwa kuua vijana watatu
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
VIJANA watatu wakulima na wakazi wa kijiji cha Udimaa wilayani Manyoni mkoani Singida,wamefariki dunia baada ya kupewa kipigo kikali na askari Sungusungu na wananchi wenye hasira kali, kwa tuhuma ya kuvamia duka la mfanyabiashara Robert Francis (23) na kisha kumpora shilingi 1,500,000 taslimu.
Vijana hao ni Mosi Emmanuel (31), Mbasha Mhembano (27) na...
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Polisi Dar watuhumiwa kuua tena
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limeingia matatani na kudaiwa kumuua Kassim Jafari Ruhazi hatua iliyosababisha ndugu wa marehemu kususia maiti hiyo katika hospitali ya Mwananyamala. Mbali na hilo, ndugu...
5 years ago
MichuziSIMBACHAWENE AWATAKA WATENDAJI WAKUU POLISI KUWAHOJI WATUHUMIWA WALIOPO MAHABUSU ZA POLISI NCHINI
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza naWatendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Nchini, katika ukumbi wa mikutano wa Jeshihilo, jijini Dar es Salaam, leo. Simbachawene amewataka viongozi haowawakikishe wanawahoji watuhumiwa waliopo katika mahabusu ya vituo vyapolisi nchini ili kujua makosa waliyoyafanya kama wanastahili...