7 watuhumiwa kuua albino
JESHI la Polisi mkoani Simiyu limewakamata watu saba wanaotuhumiwa kuhusika na kifo cha mlemavu wa ngozi, Munghu Mugata (40) aliyeuawa kwa kukatwa mapanga nyumbani kwake usiku wa Mei 12 mwaka huu katika kijiji cha Gasuma, Kata Mwaubingi wilayani Bariadi.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Watendaji watuhumiwa kuua
11 years ago
Habarileo28 May
Watu saba watuhumiwa kuua polisi 2
WATU saba wamekamatwa na Polisi mkoani Tabora wakituhumiwa kuhusika katika mauaji ya askari Polisi wawili na unyang’anyi wa kutumia silaha, yaliyofanyika mwezi uliopita.
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Polisi Dar watuhumiwa kuua tena
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limeingia matatani na kudaiwa kumuua Kassim Jafari Ruhazi hatua iliyosababisha ndugu wa marehemu kususia maiti hiyo katika hospitali ya Mwananyamala. Mbali na hilo, ndugu...
10 years ago
Dewji Blog23 Jun
Sungusungu watuhumiwa kuua vijana watatu
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Singida, ACP Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake.
Na Nathaniel Limu, Singida
VIJANA watatu wakulima na wakazi wa kijiji cha Udimaa wilayani Manyoni mkoani Singida,wamefariki dunia baada ya kupewa kipigo kikali na askari Sungusungu na wananchi wenye hasira kali, kwa tuhuma ya kuvamia duka la mfanyabiashara Robert Francis (23) na kisha kumpora shilingi 1,500,000 taslimu.
Vijana hao ni Mosi Emmanuel (31), Mbasha Mhembano (27) na...
10 years ago
StarTV01 Apr
Ufukuaji kaburi la Albino, Polisi Kagera yakamata watuhumiwa wawili
Na Mariam Emily,
Bukoba Kagera.
Polisi mkoani Kagera inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kufukua kaburi la mlemavu wa ngozi Baltazary John aliyefariki dunia mwaka 1999 katika kijiji cha Kandegesho wilayani Karagwe mkoani humo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera Kamishna Msaidizi wa Polisi Henry Mwaibambe amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao ambao walikuwa katika harakati za kutafuta wateja kwa ajili ya kuuza viungo vya marehemu huyo.
Baadhi ya wananchi wamelaani kitendo cha...
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Wanne wahukumiwa kunyongwa kwa kuua albino Tanzania
10 years ago
Habarileo03 Sep
Kortini kwa kukata mkono wa albino, kuua mume
WATU watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Igunga na kusomewa mashitaka ya kukata mkono wa mlemavu wa ngozi na kisha kumuua mumewe.
10 years ago
Mwananchi07 Mar
MAUAJI ALBINO: Albino: Adhabu ya kifo sawa