Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto 800 wamelawitiwa Tanzania 2013

Ripoti ya kutetea Haki za binadamu imesema watoto 800 walilawitiwa mwaka 2013 nchini Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Watoto 800 walawitiwa Tanzania

JUMLA ya watoto 863, wanaripotiwa kufanyiwa vitendo vya ulawiti huku wanaowafanyia hivyo wakiwa ni ndugu zao wa karibu. Pia watoto 250 wametupwa na kutelekezwa huku 142 wakiwa wametekwa na 10...

 

11 years ago

GPL

REDDS MISS TANZANIA 2013 AWAFARIJI WATOTO YATIMA

Redds Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa ( kushoto) akipinga hodi ikiwa ni ishara ya kukaribishwa katika Kituo cha kuleta watoto yatima Mgolole cha Masista wa Moyo Safi wa Maria wa Morogoro , ambapo alifuatana na warembo wengine wawili, Miss Tanzania mshindi wa tano, Elizabeth Perrty, na Sabra Islam Miss Morogoro 2013, wazazi wake na Viongozi wa juu wa Kamati ya Miss Tanzania na kupokelewa na Mama Mkuu wa Kituo hicho, Sista...

 

10 years ago

GPL

REDDS MISS TANZANIA 2013, HAPPYNESS WATIMANYWA AFUNGUA CLUB YA KUJISOMEA WATOTO YA NKEMA

 Redds Miss Tanzania 2013, Happness Watimanywa (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Club ya kujisomea watoto ya ijulikanayo kwa jina la Nkema Reading Club iliyopo Kinondoni Mtaa wa Kasana jirani na Kituo kinachojengwa kwa ajli ya Mabasi ya Mwendokasi nyuma ya Sheli ya Mwanamboka katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo, Getrude Kilyabusebu.… ...

 

10 years ago

Michuzi

TIMU YA WATU 21 YA KAMPUNI YA KUCHIMBA DHAHABU YA ACACIA WASHUKA KUTOKA MLIMA KILIMANJARO,WACHANGISHA MILIONI 800 KWA AJILI YA ELIMU TANZANIA.

Timu ya watu 21 ya wafanyakazi ,Ndugu na Marafiki wa Kampuni ya kuchimba dhahabu ya Acacia wakishuka kutoka mlima Kilimanjaro ambako walipanda kwa ajili ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia elimu.Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ya Acacia,Brad Gordon akiwa na Meneja wa Ustawi wa kampuni Asa Mwaipopo wakifurahia mara baada ya kushuka toka kaika kilele cha Uhuru ambako watu 19 kati ya 21 ndio walifanikiwa kufika kileleni.Meneja wa Kitengo cha Mawasiliano na...

 

10 years ago

IPPmedia

Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanya


IPPmedia
Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanya
IPPmedia
The 2013 Miss Tanzania Happiness Watimanya jets today to London to represent the country in this year's Miss World beauty contest. The 64th edition of the Miss World pageant will be held on December 14 at ExCeL London in London. Megan Young of the ...

 

11 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Kidato cha 4 wafaulu zaidi 2013

Kiwango cha kufaulu kwa wanafunzi wa kidato cha nne waliofanya mitihani mwaka 2013 kimeongezeka zaidi ikilinganishwa na 2012.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani