Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATU 14 WAUWAWA USIKU WA KUAMKIA LEO NCHINI MAREKANI

Polisi wenye silaha wakipiga doria katika eneo palipotokea mauaji hayo.
Polisi nchini Marekani imesema takriban watu 14 wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi na watu wenye silaha katika mji wa San Bernadino mashariki mwa Los Angeles.
Polisi mjini humo inasema tukio hilo limetokea kwenye kituo cha huduma kwa watu wenye ulemavu na inawezekana lilihusisha watu watatu wenye silaha ambao wametoroka kwa gari.Watu hao wenye silaha wanasemakana walivalia kijeshi na walitumia silaha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

EXTRA BONGO ILIVYOKAMUA USIKU WA KUAMKIA LEO

Super Nyamwela (kushoto) na Ally Choki wakionyesha mbwembwe wakati wa shoo yao Meeda Club. Prezidaa wa Mashujaa Musica, Chaz Baba (katikati) naye alivamia jukwaa la Extra Bongo kunogesha mambo.…

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA AVAMIWA USIKU WA KUAMKIA LEO

Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba. MSANII wa Bongo Fleva, Ali Kiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Ali Kiba akiwa katika pozi. Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi ya ndugu wa Ali Kiba na kuiba mali na kila kitu ambacho...

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI NDANI YA BILLS USIKU WA KUAMKIA LEO

Barnaba Boy akifanya yake. Baraka Da Prince (kushoto),  akifanya makamuzi na msanii mwenzake, Ice Boy.
Bob Junior akipagawisha.…

 

10 years ago

GPL

DI MARIA ATUA MAN UTD USIKU WA KUAMKIA LEO

 Di Maria (kushoto nyuma) katika gari akipelekwa uwanja wa mazoezi wa Manchester United uitwao Carrington usiku wa kuamkia leo.…

 

10 years ago

GPL

SHANGWE ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA USIKU WA KUAMKIA LEO

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Kahama. Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.…

 

10 years ago

GPL

LADY NAA ALIVYOSHEREHEKEA BETHIDEI YAKE USIKU WA KUAMKIA LEO

Keki za Birthday. Lady Naa akikata keki.
Lady Naa akimlisha keki Coletha Raymond.…

 

11 years ago

GPL

MOTO WAZUKA CHUO CHA UDOM USIKU WA KUAMKIA LEO

Moto ukiendelea kuwaka usiku wa kuamkia leo karibu na hostel za wasichana katika skuli ya sanaa na lugha (School of Humanities) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Chanzo cha moto huo hakijajulikana. Wakaazi wa mji huo walisikia vingo'ra vya magari ya zimamoto yakielekea chuoni huko kwa kasi usiku wa manane. (PICHA NA Global WhatsApp +255 753… ...

 

11 years ago

GPL

USIKU WA AKUDO IMPACT NDANI YA MSASANI CLUB KUAMKIA LEO

Binti aliyeomba kujiunga na Akudo Impact  akinadiwa na mmoja ya waimbaji wa akudo. Du! Dada mwingine aijaribu bahati yake kuwa ‘mwanachama’ wa bendi hiyo.…

 

10 years ago

GPL

YAMOTO BAND YAZINDULIWA RASMI DAR LIVE USIKU WA KUAMKIA LEO

Dogo Aslay akiwapagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi rasmi wa Yamoto Band.
Mashabiki wakiwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani