Watu 32 wauawa kaskazini mwa Nigeria
Watu 32 wameuawa kwenye shambulio la bomu la kujitoa mhanga katika mji wa Yola, kaskazini mashariki mwa Nigeria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili26 Dec
Watu 40 wauawa Mashariki mwa DRC
Ripoti kutoka Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinasema kuwa raia 40 wameuawa kwenye mapigano mjini Kamango
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Watu 70 wauawa Mashariki mwa Congo-UM
Umoja wa Mataifa umesema kuwa zaidi ya watu 70 waliuawa mwisho wa mwezi uliopita na mapema mwezi huu Mashariki mwa DRC.
5 years ago
CCM Blog25 May
WATU 25 WAUAWA NA KUJERUHIWA KATIKA MLIPUKO WA BOMU KUSINI MWA SOMALIA

10 years ago
BBCSwahili12 Dec
watu 30 wauawa Nigeria
Mashambulio mawili ya mabomu katika mji wa Jos nchini Nigeria yamewaua takribani watu 30.
10 years ago
BBCSwahili31 May
Nigeria:Watu 29 wauawa msikitini
Watu 29 wameuawa kati mji mkuu wa jimbo la Borno Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya mlipuaji wa kujitoa mhanga kujilipua ndani ya msikiti.
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Watu 25 wauawa Zaria Nigeria
Maafisa wa serikali Kaskazini mwa Nigeria wamesema watu 25 wameuawa katika shambulio la bomu la kujitolea mhanga katika mji wa Zaria.
10 years ago
BBCSwahili19 Aug
Karibu watu 60 wauawa Nigeria
Ripoti kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa karibu watu 60 huenda waliuawa katika kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa nchi
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Watu 30 wauawa msikitini Nigeria
Watu 30 wamefariki baada ya kutokea kwa milipuko miwili katika msikiti ulio karibu na mji wa Maiduguri.
11 years ago
BBCSwahili21 Jan
Watu 18 wauawa na Boko Haram-Nigeria
Wapiganaji wa Kiislamu nchini NIgeria wamekishambulia kijiji Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo na kuwaua kiasi ya watu 18.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania