Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 4 waambukizwa Ebola Conakry

Wataalamu wa afya wanasema wamewatenga watu 4 katika wadi ya hospitali moja mjini humo. Zaidi ya watu 60 wamefariki nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Watu 2 waambukizwa Ebola Liberia

Madada wawili wameambukizana ugonjwa hatari wa Ebola nchini Liberia baada ya kuenezwa kutoka nchini Guinea ambako umewaua watu 78.

 

10 years ago

Habarileo

5 waambukizwa ebola kila baada ya saa

SHIRIKA la Msaada la Save the Children limeonya kuwa kiwango cha maambukizi kilichopo sasa nchini Sierra Leone, kinamaanisha kuwa nchi hiyo inakabiliwa na uhaba mkubwa wa vifaa na tiba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watu 305 waambukizwa VVU Iringa

KATI ya watu 4,879 mkoani hapa waliopima afya zao kwa hiari katika kipindi cha robo ya kwanza ya Julai hadi Septembam waka huu, 305 wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi...

 

9 years ago

StarTV

Watu 192 wafariki, 12,222 waambukizwa Ugonjwa Wa Kipindupindu nchini

Watanzania 196 wamefariki dunia nchini mwaka huu kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Kipindupindu.

Idadi hiyo inatokana na wananchi 12,222 waliougua ugonjwa huo katika mikoa 20 ya Tanzania.

Takwimu hizo zimetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utoaji wa Huduma za Kinga katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Vincent Assey, wakati wa mafunzo maalum ya kipindupindu kwa Waandishi wa habari mkoani Mbeya.

Mkoa wa Mbeya umefanikiwa kumaliza tatizo hilo licha...

 

11 years ago

Michuzi

WATU 379 WAAMBUKIZWA VVU IRINGA OKTOBA HADI DISEMBA 2013

Mstahiki meya wa halmashauri ya manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi akifungua kikao kwa maombi katika baraza la madiwani lilofanyika mwishoni mwa wiki kushoto ni naibu meya Gervas Ndaki na kulia  Mkurugen Theresia  Mahongo kikao kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya Manispaa. (picha na Denis Mlowe)
Juu na chini ni Madiwani wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa wakiwa katika kikao cha baraza kilichofanyika katika ukumbi wa halmashauri mwishoni mwa wiki.  Habari na picha na Denis...

 

11 years ago

GPL

GONJWA LA RAY C HATARI, LAPUKUTISHA WATU MIL 2, MIL 100 WAAMBUKIZWA!

Na Joseph Shaluwa na Musa Mateja
MARADHI yanayomsumbua mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ni tishio, Gazeti la Mastaa, Amani limeelezwa. Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akiwa hoi hospitali. Ray C anaugua ugonjwa wa Homa ya Dengu ambao kitaalam hujulikana kama Dangue Fever. Ulibainika baada ya kufanyiwa uchunguzi na madaktari wa Hospitali ya Mkoa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watu 147 zaidi waambukizwa corona Kenya

Idadi ya vifo Kenya kutokana na corona yafikia 58 huku wengine zaidi 147 wakithibitishwa kuambukizwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

WHO:Watu 7000 wamefariki na ebola

WHO ilinasema kuwa karibu watu 7000 wameaga duian kutokana na ugonjwa wa Ebola wengi wakiwa eneo la Afrika magharibi.

 

10 years ago

Habarileo

Ebola yaua watu 1,900 Afrika

WATU zaidi ya 1,900 wamekufa, kutokana na kushambuliwa na virusi vya ugonjwa wa ebola katika nchi za Afrika Magharibi, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani