Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 7 wachomwa Tanzania

Polisi nchini Tanzania wanasema watu 7 wameuawa kwa kuchomwa katika eneo la Kigoma magharibi mwa nchi hiyo kwa tuhuma za uchawi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wezi wa ng’ombe wachomwa moto

Kamanda wa Polisi mkoani Mara, Philipo KalangiWATU watano wamekufa katika matukio matatu tofauti, wakiwemo watatu waliouawa na miili yao kuchomwa moto na wananchi wanaojiita wenye hasira, baada ya kutuhumiwa kuiba ng’ombe 40 katika Wilaya ya Bunda Mkoani Mara.

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WACHOMWA MOTO HADI KUFA

Baadhi ya wananchi wakishuhudia jinsi miili hiyo inavyoteketea. Matairi yaliyotumika kuwachomea vibaka hao yakiungua. Miili hiyo ikiteketea kwa…

 

10 years ago

GPL

WATOTO WACHOMWA MOTO, KISA HAWARA WA BABA

Stori: Shani Ramadhani
INASIKITISHA sana! Vijana wawili, Jumanne Omar (17) na Mgeni Rashidi Rajabu (16) (aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Keko), Dar, wakazi wa Mtoni Madafu, Temeke wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali baada ya kudhaniwa kuwa ni wezi. Marehemu Jumanne Omar enzi za uhai wake. Tukio hilo la kinyama lilitokea wiki iliyopita Gongo la Mboto, Dar ambapo kijana...

 

10 years ago

GPL

POLISI WANYANG’ANYWA WATUHUMIWA, WACHOMWA MOTO!

Makongoro Oging

Hii  si poa! Raia wenye hasira, katikati ya wiki iliyopita waliwachukua vijana wawili wanaotuhumiwa kuwa majambazi, waliokuwa mikononi mwa polisi, ambao majina yao yametajwa kuwa ni Mnubi na White kisha kuwateketeza kwa moto baada ya kuwabaini kuwa ndiyo waliohusika na uvamizi na uporaji wa maduka mawili ya huko Mwika-Madukani, Moshi vijijini. Chanzo chetu kililiambia gazeti hili kuwa, vijana hao wakiwa...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

10 years ago

Michuzi

TUZO ZA WATU TANZANIA 2015


Washindi wa Tuzo ya Watu Tanzania 2014

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajali yaua watu 17 Tanzania

Watu 17 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea mkoa wa Dodoma katikati mwa Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 8 Tanzania

Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbali mbali ya Tanzania zimesababisha vifo vya watu wasiopungua wanane

 

10 years ago

BBCSwahili

Mafuriko yawaua watu 38 Tanzania

Mafuriko mabaya kazkazini magharibi mwa Tanzania yamewaua takriban watu 38.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani