Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO ZA WATU TANZANIA 2015


Washindi wa Tuzo ya Watu Tanzania 2014

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 years ago

Dewji Blog

Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...

 

10 years ago

Michuzi

tatu bora ya Tuzo za Watu 2015

Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam.  Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.
Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.
Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.
Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi wa tuzo za Watu 2015, hawa hapa!!

TIIPichani wakati wa tuzo za watu ilivyokuwa baada ya washindi kukabidhiwa  tuzo zao..

Na Andrew Chale, Modewji blog

Hatimaye usiku wa Mei 22 Tanzania iliandika historia nyingine kwa kushuhudia utoaji wa tuzo maalum zijulikanazo kama TUZO ZA WATU 2015, zilizofanyika jijini Dar es Salaam.

Washindi hao  ni katika vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo ya washindi yaliingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi...

 

10 years ago

Bongo5

Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa

Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo. Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 25. Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye […]

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa

Majina yaliongia kwenye hatua ya tano bora kwenye Tuzo za Watu 2015 yametangazwa rasmi Ijumaa hii. Hiyo ni baada ya siku kadhaa za kuhesabu mapendekezo yaliyokuwa yakitumwa na wananchi kwa kipindi cha wiki tatu tangu kuzinduliwa kwa tuzo hizo.
Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24.
Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:

Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1         
Dida – Times FMD’Jaro Arungu – TBC FMDiva – Clouds FMMariam Kitosi – Times FMMillard Ayo –...

 

10 years ago

Dewji Blog

Top 3 ya Tuzo za Watu 2015 yatoka, kufanyika Ijumaa, May 22, Hyatt Regency Hotel

square_with_sponsors-1

Tuzo za Watu 2015 zinatarajiwa kufanyika Ijumaa ya May 22 kwenye hoteli ya Hyatt Regency (The Kilimanjaro) jijini Dar es Salaam.  Tuzo za mwaka huu zinahusisha vipengele 13 vilivyopo kwenye muziki, filamu, redio, televisheni na blogs.

Washindi watapatikana kwa asilimia 100 ya kura za wananchi zinazoendelea katika hatua hii ambapo wamebaki washiriki watatu katika kila kipengele.

Kila mshindi atapokea tuzo na zawadi ya fedha taslimu shilingi milioni moja.

Pamoja na utoaji wa tuzo hizo, hafla...

 

10 years ago

Bongo5

Sababu za kuchelewa kutangaza majina yaliyoingia kwenye Top 5 ya tuzo za watu 2015

Tunapenda kuwaomba radhi wananchi kwa kushindwa kutangaza majina yaliyoingia kwenye hatua ya tano bora katika vipengele 14 vinavyoshindaniwa kwenye Tuzo za Watu 2015. Hii imetokana na sababu mbalimbali ambazo zimekuwa nje ya uwezo wetu. Sababu hizo ni pamoja na: 1. Zoezi la kukusanya na kuhesabu mapendezo kuwa refu kutokana na wingi wa kura kuliko ilivyotarajiwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani