Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMISHI MADINI WAPATA ELIMU YA CORONA


Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala, Issa Nchasi akiwakaribisha wataalamu wa Afya kutoa mafunzo juu ya ugonjwa wa corona kwa watumishi wa Wizara ya Madini Makao Makuu jijini Dodoma, leo asubuhi.Mtaalamu wa afya Dkt. Shamza Said akitoa elimu ya ugonjwa wa corona kwa watumishi wa Wizara ya Madini ili kuwapa uelewa wa ugonjwa huo na namna ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS WAPATA ELIMU YA CORONA

 Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wazee na Watoto akitoa elimu juu ya ugonjwa wa Corona kwa watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais hii leo Mtumba Dodoma. Katika picha ni baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Mhandisi Joseph Malongo.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Bw. Yusuph Seif Afisa Afya kutoka Wizara Afya (hayupo pichani) wakati wa utoaji wa elimu juu ya ugonjwa...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAPEWA ELIMU YA UELEWA JUU YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19)

 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (Wa kwanza kulia) alipokuwa akitoa elimu ya Kujengwa Uelewa juu ya Ugonjwa wa Corona (COVID-19) kwa Watumishi hao, elimu hiyo imetolewa leo katika Ofisi za Wizara hii, Jijini Dodoma.
 Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, wakimsikiliza kwa makini Afisa Afya, kutoka Wizara ya Afya, Yusuph Seif (hayupo pichani) alipokuwa akisisitiza jambo kuhusiana na elimu...

 

5 years ago

Michuzi

RC Wangabo Asisitiza Watumishi Kutoa Elimu ya Corona Hadi Vijijini Baada ya Wananchi na Vijana Wengi kutofuatilia Vyombo vya Habari


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akipimwa hali yake ya joto la mwili kabla ya kuingia katika ofisi za kituo cha Uhami`aji kilichopo katika mpaka wa Kasesya unaotenganisha nchi ya Tanzania na Zambia,uliopo kata ya Itete, Wilayani Kalambo.Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akitoa maelekezo kwa maafisa wa uhamiaji pamoja na watumishi wa mpaka wa Kasesya unaotenganisha nchi ya Tanzania na Zambia kuhakikisha wananchi wanaotumia mpaka huo wanazingatia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nishati na Madini wapata kigugumizi

WAWAKILISHI wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, jana walijikoroga mbele ya Kamati ya Usuluhishi ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), na hivyo kusababisha shauri lao...

 

11 years ago

GPL

TMT WAPATA ELIMU GLOBAL

Washiriki wa TMT wakiwa katika picha ya pamoja. KAMPUNI ya Proin Promotion imewadondosha washiriki wote kutoka kanda sita waliopatikana katika shindano la kuibua vipaji vya kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talent (TMT) katika Ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar Juni 26, mwaka huu kujifunza mambo mbalimbali kuhusiana na uchapishaji wa magazeti.… ...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi wapya Nishati na Madini waaswa kuwa wabunifu, waadilifu

Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Mrimia Mchomvu (aliyesimama), akisisitiza jambo kwa Wafanyakazi wapya wa Wizara hiyo (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa Mafunzo Elekezi uliofanyika Jumatatu - Machi 23, 2015, katika Ukumbi wa Elimu ya Watu Wazima – Dar es Salaam. Mkurugenzi Mchomvu alifungua rasmi mafunzo hayo kwa niaba ya Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara husika, Mhandisi Ngosi Mwihava.
Mmojawapo wa Washiriki wa Mafunzo Elekezi kutoka Wizara ya Nishati na...

 

10 years ago

Habarileo

2,475 wapata mikopo elimu ya juu Zanzibar

WANAFUNZI 2,475 wa Zanzibar wanaosoma katika vyuo vya elimu ya juu nchini, wamepata mikopo ya kuendelea na masomo katika vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kwa mwaka wa fedha 2014-2015.

 

10 years ago

Michuzi

Waislam Mkoani Lindi wapata elimu ya ukimwi

Katibu wa Baraza kuu la Waisalam Mkoa wa Lindi (BAKWATA) Alhaj Abdillah Salum akifunga mafunzo kwa viongozi wa Kiislam pamoja na waalim wa madrasa katika Manispaa ya Lindi kuhusiana na Vita dhidi ya VVU/UKIMWI Chini ya Uwezeshaji wa AMREF kwa Ufadhili wa Global Fund. viongozi wa dini ya kiislam wakipata mafunzo toka kwa mkufunzi wa mafunzo hayo,sheikh Shomari Mchongoma.Maelezo ya Semina hiyo.
Na ABDULAZIZ ,Globu ya Jamii - Lindi
Viongozi wa dini mkoani Lindi wameaswa kuhimiza maadili mema...

 

5 years ago

Michuzi

Wafanyakazi STAMICO wapata mafunzo dhidi ya Corona

 Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeungana na taasisi nyingine za umma na binafsi nchini katika kuwaasa wafanyakazi wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID -19).
Katika kufanikisha hilo, uongozi wa STAMICO uliandaa mafunzo ya siku moja yaliyofanyika kwenye viunga vya wazi vya ofisi hiyo  kwa ajili ya wafanyakazi wake waliopo Dar es Salaam ambapo, pamoja na mambo mengine, walihimizwa kujilinda na maambukizi ya ugonjwa wa COVID...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani