Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waungwana, hivi BMT ipo au haipo?

Baraza la Michezo la Taifa (BMT), ni mojawapo ya vyombo vya juu vya Serikali katika kushughulikia masuala mbalimbali ya michezo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

BBCSwahili

Pellegrini:Mancity haipo katika mgogoro

Mkufunzi wa kilabu ya Manchester City Manuel Pellegrini amesisitiza kuwa kilabu yake haiko katika mgogoro .

 

10 years ago

GPL

NDOA, HAIPO: GARDNER AMSALITI JIDE?

Stori: Waandishi Wetu
LICHA ya kutothibitishwa juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa ndoa yake na mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Jide’, mtangazaji maarufu Bongo, Gardner G. Habash ‘Kepteini’ amenaswa na kabinti akiwa kwenye pozi tata za kimahaba hivyo baadhi ya watu kuhoji anasaliti ndoa? Risasi Jumamosi lilifuatilia hatua kwa hatua. Mtangazaji maarufu Bongo, Gardner G. Habash ‘Kepteini’...

 

10 years ago

Mwananchi

MTAZAMO : Wizara ya michezo ni kama haipo, tazameni vizuri

Kwa nini taasisi za kijamii zisipendekeze awamu moja ya uongozi wa Serikali iwe na miaka sita au saba badala ya kuhimiza utawala wa awamu mbili za miaka mitano mitano? Nadhani wafanyie kazi jambo hili.

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi kuendelea kuula BMT

Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia amesema Dioniz Malinzi ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).

 

10 years ago

Mwananchi

Malinzi: Inatosha kuiongoza BMT

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi amesema kipindi cha miaka mmitatu alichoongoza chombo hicho kinatosha na hawezi kuendelea hata kama Serikali itamwongezea muda.

 

11 years ago

Mwananchi

Miaka mitatu ya BMT ahadi haijatimizwa

Imesalia miezi sita ili uongozi wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) utimize miaka mitatu iliyopewa kusimamia uendeshaji wa shughuli za michezo nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Cheka aijia juu BMT

Cheka na Miyeyusho wamejiandaa kwa kutumia fedha zao, walitarajia kurudishiwa baada ya pambano.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani