Wauzaji wa kemikali waamriwa kujisajili
OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali imewataka wadau wote wanaojihusisha na usafirishaji na uuzaji wa kemikali kujisajili kabla ya hatua za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo21 Jan
RPC aagiza wauzaji wa tindikali kujisajili
POLISI mkoani Simiyu imewataka wauzaji wa tindikali, kujisajili kwa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, ili watambulike kisheria na kupewa utaratibu wa matumizi sahihi ya bidhaa hiyo. Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Charles Mkumbo, pia aliwatahadharisha wananchi wote kuwa atakayekutwa na tindikali mtaani, atakamatwa na kufikishwa mahakamani.
10 years ago
Habarileo09 Dec
Wasafirishaji kemikali wakumbushwa kujisajili
WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) umeagiza wasafirishaji wa kemikali wote nchini ambao hawajasajiliwa kufanya usajili kabla ya Desemba 31, mwaka huu.
11 years ago
Habarileo31 May
Walimu wanne Sekondari waamriwa kuhama
WALIMU wanne wa shule ya Sekondari Kindai, Manispaa ya Singida wametakiwa kuhama mara moja. Wamepewa agizo hilo baada ya kukiri kuwa walitoa adhabu ya udhalilishaji kwa wasichana wote wa shule hiyo, kwa madai kuwa mmoja wao alitupa chooni taulo ya kike iliyotumika.
11 years ago
Habarileo23 Dec
Wahamiaji haramu waliorejea waamriwa kuondoka haraka
SERIKALI mkoani Kagera imewataka wahamiaji haramu waliorudi tena nchini huku wakijiita M23 na kuteka kijiji cha Kibingo kilichoko wilayani Kyerwa huku wakiendelea kutoa vitisho kwa wananchi kuondoka mara moja kwani wakikamatwa watafikishwa mahakamani na kushitakiwa kwa kosa la ujambazi.
10 years ago
Habarileo08 Aug
Mgodi Acacia waamriwa kuwalipa wanakijiji fidia
SERIKALI kupitia Baraza la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) imethibitisha kuwa maji yaliyotiririka kutoka moja ya mabwawa ya maji katika mgodi wa dhahabu wa Acacia Bulyanhulu yalikuwa na sumu.
5 years ago
BBCSwahili17 Jun
Virusi vya corona: Mamilioni ya wakazi wa Beijing waamriwa kutotoka nje ya jiji
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
MKURABITA yawataka wajasiriamali kujisajili
MPANGO wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara Tanzania (MKURABITA) umewataka wajasiriamali wadogo kusajili biashara zao na kupata mafunzo sahihi ili kufikia malengo yao. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
10 years ago
Habarileo23 Dec
Waganga wote watakiwa kujisajili
MSAJILI wa Baraza la Tiba Asili Zanzibar, Haji Juma Kundi amewataka waganga wote wanaotoa tiba mbadala, kujisajili kwa ajili ya kutoa huduma za tiba ili kuepuka kuchukuliwa sheria za kinidhamu.
10 years ago
Habarileo02 Sep
Waganga tiba asili waagizwa kujisajili
BARAZA la tiba asili na tiba mbadala limetakiwa kuhakikisha waganga wote wanaotoa huduma kwa wateja wanasajiliwa ili kuepuka udanganyifu.