Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazaramo: Kabila lenye sherehe lukuki, usipochangia, kushiriki unatengwa

>Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na makabila zaidi ya 120, yaliyounganishwa na lugha moja ya taifa ambayo ni Kiswahili. Miongoni mwa makabila hayo ya Tanzania, limo Kabila la Wazaramo, ambalo linapatikana katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

FASIHI SIMULIZI-MAKALA YA KISA CHA NYAMIHEMBE WA WAZARAMO NI CHIMBUKO LA UTANI WA WAZARAMO NA WANYAMWEZI

KISAKALE CHA BIBI NYAMIHEMBE WA WAZARAMO NI CHIMBUKO LA UTANI WA WAZARAMO NA WANYAMWEZI.
Benjamin Sawe-WHVUMHADITHI moja ya ajabu inayosimuliwa na wazee wa kizaramo ni ile ya Nyamihembe aliyolewa Unyamwezi,msimulizi mmoja alisema haikuwa Hadithi ya kweli, nayo ni hii, ( Hii ni Tanzu ya Fasihi simulizi)


Mzee mmoja wa Kizaramo alikuwa na binti mzuri aliyeitwa Nyamihembe, mtoto wa kiti cha kwanza,(Mtoto wa kiti ni mwana Nyang’iti, ni utambulisho wa Mila na Desturi za baadhi ya Makabila ya Pwani,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tikitimaji; tunda lenye virutubisho lukuki

TIKITIMAJI ni kati ya tunda linaloonekana kupendwa na watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Sababu ya kupendwa ni kutokana na utamu wake na maji ambayo yanapatikana kiasi kwamba kama...

 

10 years ago

GPL

LIWALE JIMBO LENYE MATATIZO LUKUKI

Liwale ni moja kati ya wilaya 6 za Mkoa wa Lindi Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini inapakana na Mkoa wa Pwani, Mashariki inapakana na Wilaya ya Kilwa, Kusini inapakana na Wilaya ya Ruangwa na Magharibi inapakana na Mkoa wa Morogoro. Mbunge wa Liwale Faith Mitambo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Pia Liwale ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mbunge Faith Mitambo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Siku...

 

11 years ago

Mwananchi

Sauti za Busara 2014: Tamasha kubwa Afrika lenye changamoto lukuki

>Unapozungumzia tamasha la Sauti za Busara, unazungumzia tamasha la Bara la Afrika na dunia nzima. Maana yake ni tamasha linalokusanya maelfu ya wageni wanaolishuhudia kila mwaka.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete na Rais Kabila waongoza sherehe za Kuhitimu Maafisa Wapya wa Jeshi

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa maofisa wa Jeshi wanafunzi kundi la 54/13 DRC katika chuo cha Mafunzo ya kijeshi kilichopo Monduli Mkoani Arusha jana Jumamosi Oktoba 18, 2014  Maafisa wapya wa jeshi la Wananchi wa Tanzania wakila kiapo cha utii kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa hafla ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wapya wa jeshi la wananchi wa Tanzania iliyofanyika katika chuo cha mafunzo ya kijeshi kilichopo Monduli...

 

9 years ago

Michuzi

AIRTEL KUSHIRIKI SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Meneja wa Kampuni ya Mitandao ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Airtel Tawi la Zanzibar bwana Muhidin Mikidadi wa kwanza kutoka kulia akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  kuliani kwake Ofisini Vuga Mjini Zanzibar.Bwana Muhidini alifika Ofisini kwa Balozi Seif kukabidhi mchango wa Shilingi Milioni Moja kwa ajili ya kusaidia Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.Wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu wa Makamu wa Pili Nd. Abdullah Ali Abdullah...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI KUTOKA SEHEMU NCHI MBALIMBALI WAZIDI KUMIMINIKA KWA AJILI YA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MUUNGANO

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha National People's Congress cha China na Naibu Spika, Mhe. Chen Changzhi wakimsikiliza Mkalimani wakati wa mazungumzo yao mara baada ya Mhe. Chen kupokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Mhe. Chen yupo nchini akimwakilisha Rais wa China kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo tarehe 26 Aprili,...

 

10 years ago

BBC

VIDEO: What's Up Africa: What now for Kabila?

Satirist asks if Congo leader enjoys his job

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani