Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tikitimaji; tunda lenye virutubisho lukuki

TIKITIMAJI ni kati ya tunda linaloonekana kupendwa na watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Sababu ya kupendwa ni kutokana na utamu wake na maji ambayo yanapatikana kiasi kwamba kama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LIWALE JIMBO LENYE MATATIZO LUKUKI

Liwale ni moja kati ya wilaya 6 za Mkoa wa Lindi Kusini mwa Tanzania. Upande wa Kaskazini inapakana na Mkoa wa Pwani, Mashariki inapakana na Wilaya ya Kilwa, Kusini inapakana na Wilaya ya Ruangwa na Magharibi inapakana na Mkoa wa Morogoro. Mbunge wa Liwale Faith Mitambo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Pia Liwale ni jimbo la uchaguzi linaloongozwa na Mbunge Faith Mitambo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Siku...

 

11 years ago

Mwananchi

Wazaramo: Kabila lenye sherehe lukuki, usipochangia, kushiriki unatengwa

>Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na makabila zaidi ya 120, yaliyounganishwa na lugha moja ya taifa ambayo ni Kiswahili. Miongoni mwa makabila hayo ya Tanzania, limo Kabila la Wazaramo, ambalo linapatikana katika mikoa ya Pwani na Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Sauti za Busara 2014: Tamasha kubwa Afrika lenye changamoto lukuki

>Unapozungumzia tamasha la Sauti za Busara, unazungumzia tamasha la Bara la Afrika na dunia nzima. Maana yake ni tamasha linalokusanya maelfu ya wageni wanaolishuhudia kila mwaka.

 

10 years ago

GPL

TFDA: UDHIBITI WA VYAKULA VILIVYOONGEZWA VIRUTUBISHO

Kushoto ni mratibu wa uongezaji virutubisho kutoka TFDA, John Mwingira, kulia ni ofisa habari wa TFDA, Gaudensia Simwanza wakiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani).
Wanahabari wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)…

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahutubia katika mkutano wa pili wa kimataifa wa lishe na virutubisho (ICN2) Rome Italia

01

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Mkutano wa pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho (ICN2) uliofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) jijini Rome, Italia juzi Novemba 19, 2014. (Picha na OMR).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal Novemba 19, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho...

 

11 years ago

BBCSwahili

Apokezwa jeneza lenye mzoga wa Paka

Familia ya afisaa mmoja wa Elimu nchini Kenya imeshangazwa kwa kupata jeneza dogo likiwa limewekwa nje ya mlango wao mjini Kisumu

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wanafunzi waua jambazi lenye SMG



 Yalipora mamilioni na kuua mfanyabiashara  Mengine mawili yanaswa Moshi na silaha kali
NA MARCO KANANI, GEITA
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Nyang’wale mkoani Geita, wamefanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na SMG, kwa kumshambulia na mawe.
Mtuhumiwa huyo na mwenzake, wakiwa na silaha ya aina ya SMG, juzi walizua taharuki kubwa baada ya kuvamia maduka mawili na kupora kiasi cha fedha ambacho hakijajulikana na kisha kumuua mfanyabiashara kwa risasi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita,...

 

10 years ago

Michuzi

BIASHARA NI MATANGAZAO NA JINA LENYE MVUTO....

 Hapa ni Makuyuni, DodomaHapa ni Kondoa

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kuongoza Bunge lenye vijana changamoto’

Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema hakuna kazi ngumu kama kuongoza Bunge hasa lenye wabunge vijana kama la kipindi hiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani