TFDA: UDHIBITI WA VYAKULA VILIVYOONGEZWA VIRUTUBISHO
Kushoto ni mratibu wa uongezaji virutubisho kutoka TFDA, John Mwingira, kulia ni ofisa habari wa TFDA, Gaudensia Simwanza wakiwa mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Wanahabari wakifuatilia kwa makini taarifa ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA)…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo19 Aug
TFDA kufuatilia vyakula vyenye virutubishi
MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imeandaa mpango wa ufuatiliaji wa ubora na usalama wa vyakula vilivyoongezwa virutubishi kwenye soko.
9 years ago
Mwananchi20 Nov
TFDA yanasa vipodozi, vyakula feki
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Tikitimaji; tunda lenye virutubisho lukuki
TIKITIMAJI ni kati ya tunda linaloonekana kupendwa na watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Sababu ya kupendwa ni kutokana na utamu wake na maji ambayo yanapatikana kiasi kwamba kama...
10 years ago
Dewji Blog21 Nov
Makamu wa Rais Dkt. Bilal ahutubia katika mkutano wa pili wa kimataifa wa lishe na virutubisho (ICN2) Rome Italia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia Mkutano wa pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho (ICN2) uliofanyika katika ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika la Kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO) jijini Rome, Italia juzi Novemba 19, 2014. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal Novemba 19, 2014 ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa Pili wa Kimataifa kuhusu Lishe na Virutubisho...
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
RC ataka udhibiti wa mikopo
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Rajab Rutengwe, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuwadhibiti watumishi wa umma wanaochukua mikopo pasipo kuifanyia kazi ya maendeleo kwa taifa.
Rutengwe alisema hayo mwanzoni mwa wiki alipofungua kikao cha udhibiti na ukaguzi wa hesabu za serikali mkoani hapa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini.
Aliwataka watumishi kutochukua mikopo holela kwa kuwa baadhi yao hushindwa kuwa waadilifu hivyo kukwama kwa shughuli za maendeleo.
“Watumishi...
11 years ago
Habarileo14 Feb
KIA kuongeza udhibiti wa ‘unga’
UONGOZI wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) umeahidi kuongeza jitihada za kudhibiti usafirishaji wa dawa za kulevya, kutokana maboresho yaliyofanyika katika kitengo chake cha usalama.
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Walimu na udhibiti wa nidhamu shuleni
10 years ago
Habarileo20 Mar
Muswada wa udhibiti silaha watua bungeni
SERIKALI imewasilisha Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa mwaka 2014 bungeni, ambao pamoja na kuweka kikomo cha umri wa kumiliki silaha, pia umepiga marufuku na kudhibiti uingizwaji na uuzwaji wa silaha bandia nchini.