Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi waua jambazi lenye SMG



 Yalipora mamilioni na kuua mfanyabiashara  Mengine mawili yanaswa Moshi na silaha kali
NA MARCO KANANI, GEITA
WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari Nyang’wale mkoani Geita, wamefanikiwa kumuua mtuhumiwa wa ujambazi akiwa na SMG, kwa kumshambulia na mawe.
Mtuhumiwa huyo na mwenzake, wakiwa na silaha ya aina ya SMG, juzi walizua taharuki kubwa baada ya kuvamia maduka mawili na kupora kiasi cha fedha ambacho hakijajulikana na kisha kumuua mfanyabiashara kwa risasi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita,...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa wanasa jambazi sugu, SMG, risasi 331

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Valentino MlowolaPOLISI wa mikoa ya Mwanza, Simiyu na Shinyanga wamefanikiwa kusambatarisha mtandao wa ujambazi kwenye mikoa hiyo baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa ujambazi sugu, Njile Samweli (46) mkazi wa kijiji cha Lyoma, Bariadi mkoani Simiyu aliyekuwa akitafutwa kwa muda mrefu.

 

5 years ago

Michuzi

POLISI DAR WAUA JAMBAZI SUGU MWENYE UMRI WA MIAKA 20

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa
 
Na  Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii
MKAZI wa Mbagala jijini Dar es Salaam Ramadhan Rashid maarufu kwa jina la Asney Mjeuri anayetuhumiwa kwa ujambazi sugu ameuawa wakati akitaka kuwakimbia askari Polisi.
Akizungumza leo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema kuwa mtuhumiwa huyo wa ujambazi sugu alikamatwa Februari 24 ,2020 saa saba usiku maeneo ya Sabasaba Mbagala Kizuiani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanamgambo waua wanafunzi Nigeria

Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram wametuhumiwa kuua wanafunzi kadhaa nchini Nigeria

 

10 years ago

Vijimambo

TALIBAN WAUA WATU 126 WAKIWEMO WANAFUNZI ZAIDI YA 100 NCHINI PAKISTANI

Majeruhi katika shambulio hilo wakipatiwa huduma za kitabibu.Mmoja wa wanafunzi aliyejeruhiwa na Taliban akipatiwa huduma ya kwanza.Majeruhi akipatiwa huduma katika hospitali jijini Peshawar nchini Pakistani.Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika mitaa ya Jiji la Peshawar.Magari ya kubeba wagonjwa wakielekea eneo la tukio.Wananchi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa mwanafunzi mmoja aliyeuawa na Taliban.Wanajeshi wakiwasili eneo la tukio.
TAKRIBANI watu 126 wameuawa, wakiwemo wanafunzi zaidi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi yawazawadia waliokamata SMG

JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limetoa zawadi kwa wananchi pamoja na Sungungu katika kata za Segese na Lunguya, wilayani Kahama baada ya kufanikisha kukamatwa kwa watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni...

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI WASALIMISHA SMG 2 POLISI

kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Lineratus Sabas aakionyesho moja ya silaha ambazo zimesalimishwa  na wananchi


Jeshi la polisi mkoani Arusha limefanikiwa  kupata silaha mbili aina ya SMG ambazo  zilisalimishwa na wananchi katika mbili tofauti  huko wilayani ngorongoro.


Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi mkoani Arusha Lineratus Sabas  alisema kuwa Silaha hizo zilisalimishwa na wananchi katika siku tofa uti tofauti ambapo alisema kuwa silaha ya kwanza ilisalimishwa September...

 

9 years ago

Global Publishers

Bendi ya SMG yatimiza miaka 4 ya uimbaji

3

Mmoja wa waimbaji wa bendi hiyo akifanya yake.1

46Picha matukio ya sherehe ya kutimiza miaka minne ya bendi ya SGM. BENDI ya Soul.

Gospel International ‘SMG’ ya Kawe jijini Dar, jana Jumapili ilisherehekea kutimiza miaka minne katika huduma ya uimbaji.

Sherehe hiyo ilifanyika katika Kanisa la Living Watels lililopo Kawe Makuti linaloongozwa na mtume Onesmo Ndegi sambamba na kusindikizwa na waimbaji kama Elly Jo, John Honore, Heleni Kijazi (mwimbaji wa taarabu), Bombi Johnson na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkulima anaswa na risasi 271 za SMG

DSC03164

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoa wa Singida linamshikilia mkulima na mkazi wa Matele-Kasulu mkoani Kigoma,Discon Bavumbi Masombo Kiyungu (45) kwa tuhuma ya kumiliki risasi 271 za bunduki ya kijeshi aina ya SMG kinyume na sheria.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP.Thobias Sedoyeka, alisema mtuhumiwa huyo amekamatwa Januari 18 mwaka...

 

11 years ago

Mwananchi

‘SMG’ aisikitikia safu ya ushambuliaji Ashanti

Winga wa Ashanti United, Said Maulid ‘SMG’ ameilalamikia safu yao ushambuliaji ya timu hiyo kuwa ni tatizo na imewagharimu katika mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani