WAZAZI WEZESHENI WATOTO WAKIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI - MAEMBE
Katibu Mkuu, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bibi. Anna T. Maembe akisisita haja na umuhimu wa wazazi kuwawezesha watoto wao wa kike kuyapenda masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi na hesabu ( STEM) badala ya kuliachia jukumu hilo serikali au walimu. Alikuwa akizungumza katika mkutano wa pembezoni ulioandaliwa kwa pamoja kati ya Tanzania, Uingereza na Kampuni ya Kimataifa ya GlaxoSmithkline ili kujadili fursa na changamoto za mwanafunzi wa kike katika masomo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Wito wa Serikali kwa wazazi; Wahamasisheni watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi
9 years ago
StarTV31 Dec
Serikali za Vijiji kuwachukulia hatua wazazi, walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo
Serikali za Vijiji mkoani Singida zimetakiwa kuhakikisha kuwa zinawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi wa watoto watakaoshindwa kuhudhuria masomo hadi kuhitimu baada ya kuandikishwa kuanza elimu ya msingi pamoja na waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani.
Mkuu wa mkoa huo Dokta Parseko Kone ametoa agizo hilo baada ya kubainika kuwa katika Wilaya ya Mkalama pekee, jumla ya wanafunzi 383 wa shule za Msingi na Sekondari wameacha masomo yao kwa kipindi cha kuanzia Januari...
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Watoto 132 wazaliwa mkesha wa Krismasi, Wakiume 77 na wakike 55.
10 years ago
Habarileo23 Sep
Wahandisi wahamasisha masomo ya sayansi
TAASISI ya Wahandisi Tanzania (IET) imeshauri Serikali kuanzisha kampeni za kuhamasisha masomo ya sayansi na teknolojia katika shule za msingi na sekondari kuwezesha taifa kuwa na wataalamu wa kutosha kutoka katika eneo hilo.
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
‘Serikali iwekeze masomo ya sayansi’
MPANGO wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa unaweza ukafanikiwa kuleta tija ya kimaendeleo katika sekta ya elimu nchini, iwapo serikali itawekeza zaidi katika masomo ya sayansi na hisabati shuleni. Pia...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Wanafunzi wahimizwa masomo ya sayansi
WANAFUNZI wa shule mbalimbali nchini wametakiwa kujifunza masomo ya sayansi kutokana na umuhimu wake katika ugunduzi wa vitu ili kusaidia taifa kimaendeleo. Imeelezwa kuwa idadi kubwa ya wanafunzi na walimu...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Wahimizwa kutokwepa masomo ya sayansi
WANAFUNZI nchini wametakiwa kuongeza juhudi katika masomo ya sayansi na kuacha tabia ya kuyakwepa masomo hayo.
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Maabara nyenzo muhimu masomo ya sayansi
WATAALAM wa sayansi hawawezi kupatikana nchini kama serikali haitayapa masomo hayo kipaumbele na kujenga maabara shuleni. Ni shule chache nchini ambazo zimekuwa zikifaulisha wanafunzi masomo ya sayansi, hii ni kutokana...