Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee Kilosa vijijini kuchunguzwa afya

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro kupitia hospitali ya wilaya hiyo inatarajia kuanza utekelezaji wa mpango wa kuwafanyia uchunguzi wa afya wazee wanaoishi vijijini ili kuwakinga na maradhi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Watumishi afya wanaomiliki hospitali kuchunguzwa

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameagiza kufanyike uchunguzi dhidi ya waganga na wauguzi, wanaomiliki hospitali, kliniki na maduka ya dawa baridi ili kubaini kama wanahusika na upotevu wa dawa kwenye hospitali za Serikali.

 

11 years ago

Mwananchi

JK aenda kuchunguzwa afya Marekani, mkewe apata tuzo

Rais Jakaya Kikwete, ameondoka nchini kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.

 

9 years ago

StarTV

Sera Ya Afya Kutotungiwa Sheria yasababisha  Wazee nchini wakosa huduma bora za afya

Kukosekana kwa huduma bora katika sekta ya afya inayowatambua wazee kupata matibabu bora na bure kunatokana na sera ya wazee kutotungiwa sheria tangu mwaka 2003 inayotoa muongozo kwa watendaji wa Serikali na taasisi mbalimbali kuwahudumia.

Licha ya sera hiyo kutoa mwongozo kwa kila zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya na mkoa kuwa na chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya wazee ikiwemo daktari anayetambua magonjwa yao lakini bado sera hiyo haitekelezwi.

 Naibu Mkurugenzi wa...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAHAIDI KUZIDI KUPIGA JEKI WAFANYAKAZI WA AFYA YA JAMII KUBORESHA AFYA YA JAMII VIJIJINI

 Na Mwandishi Wetu,SERIKALI ya Tanzania imeelezea utayari wake wa kupiga jeki na kuwajumuisha wafanyakazi wa afya ya jamii katika nguvukazi ya sekta ya afya (national health workforce) ya taifa ili kuboresha afya ya jamii hususani katika maeneo ya vijijini.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya wadau wa mradi wa mafunzo ya wafanyakazi wa afya ya jamii (Community Health Worker Learning Agenda Project - CHW-LAW) jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji (idara ya uzazi na afya ya mtoto)...

 

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA KILOSA RAJAB MSABAHA KAUZELA AENDELEA NA ZIARA ZA UFUNGUZI WA MATAWI YA CHADEMA JIMBONI KILOSA

Mwanachama wa CHADEMA akiandaa bendera tayari kwa ufunguzi wa Tawi la Chadema Jimboni KilosaMtia ni wa Ubunge Kilosa Ndugu Rajab Msabaha Kauzela akipandisha bendera kama ishara ya ufunguzi wa Tawi la Chadema katika mwendelezo wa ziara zake za ufunguzi wa matawi ili kujenga chama Jimboni KilosaWananchi waliofurika kushuhudia ufunguzi wa Tawi Jipya la Chadema moto wa gesi Jimboni KilosaNdugu Kauzela akihutubia wakazi wa Kilosa katika ufunguzi wa Tawi la CHADEMA Jimboni KilosaNdugu Kauzela...

 

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA KILOSA KUPITIA CHADEMA NDUGU RAJAB MSABAHA KAUZELA AANZA RASMI SAFARI YAKE YA KUWAKOMBOA WANA-KILOSA

Rajab Msabaha Kauzela  mtia nia wa Ubunge Jimbo la Kilosa  ambaye pia alikuwa Katibu Mwenezi wa Tawi a CHADEMA Washington DCRajab Msabaha Kauzela (wa nne kutoka kushoto) akiwa na mnadhimu wa kambi ya upinzani ambaye pia ni mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na viongozi wengine wa chadema Morogoro.Rajab Msabaha Kauzela akiwahutubia wakazi wa Kilosa waliokusanyika kumsikiliza katika mkutano wa hadhara, akielezea mikakati yake endapo wana-Kilosa...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Bilal ahimiza wanawake vijijini kutumia huduma za afya

MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amewataka akinamama Zanzibar kujitokeza kwa wingi kuzitumia huduma za afya zilizopo vijijini kwa ajili ya kupunguza vifo vinavyotokana uzazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti: Wazee hawapati huduma za afya bure

Mwandishi wa vitabu, Pearl Buck aliwahi kuandika “jamii lazima ihakikishe inatengeneza mazingira mazuri kwa wazee ili kila anayefikia hatua hiyo ya maisha asijione tofauti na watu wa rika jingine, kwa sababu ni hatua ambayo kila mwanadamu ataifikia iwapo hatafariki dunia mapema”.

 

11 years ago

Mwananchi

AFYA: Wazee watakiwa kuacha pombe, sigara

>Wazee wilayani hapa mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuachana na matumizi ya pombe na uvutaji wa sigara na kujiweka katika hali ya usafi ili waweze kuwa na afya bora na kuondokana na magonjwa yasiyo ya lazima.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani