Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri aonya walimu

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amewataka walimu wa shule za msingi na sekondari nchini kutimiza wajibu wao wa kufundisha wanafunzi madarasani badala ya kuendelea na tabia ya kuwatelekeza.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AONYA WAPOTOSHAJI KUHUSU CORONA

 WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya juu ya upotoshwaji na utoaji holela wa taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababisha na virusi vya corona (COVID 19) unaofanywa na watu mbalimbali nchini.
Amesema kuanzia sasa taarifa hizo zitatolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na ikilazimika zitatolewa na Waziri Mkuu na ikilazimika sana zitatolewa na viongozi wakuu wa nchi ili kuepusha mikanganyiko.
Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumamosi, Machi 21, 2020)...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AONYA WANAOPOTOSHA KUHUSU CORONA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya juu ya upotoshwaji na utoaji holela wa taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababisha na virusi vya corona (COVID 19) unaofanywa na watu mbalimbali nchini.
Amesema kuanzia sasa taarifa hizo zitatolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na ikilazimika zitatolewa na Waziri Mkuu na ikilazimika sana zitatolewa na viongozi wakuu wa nchi ili kuepusha mikanganyiko.
Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumamosi, Machi 21, 2020)...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Mkuya aonya ongezeko pato la taifa

Mizengo PindaWAZIRI wa Fedha, Saada Mkuya amezindua usambazaji wa takwimu zilizorekebishwa kwa mwaka wa kizio (hesabu) wa 2007 na kueleza kuwa pato la taifa kwa mwaka lilikuwa kwa Sh trilioni 26.8 ukilinganishwa na Sh trilioni 20.9 za mwaka 2001.

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI MKUU AONYA WANAOPOTOSHA NA WANAOTOA KIHOLELA TAARIFA ZA CORONA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa , Makatibu Tawala wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Machi 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)







DODOMA, Tanzania
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameonya juu ya baadhi ya Watu wanapotosha na wanaotoa kiholela taarifa kuhusu ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona hapa nchini.
Amesema kuanzia sasa taarifa hizo zitatolewa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri aonya dawa za wakunga wa jadi kwa uzazi salama

DAWA za kienyeji wanazopatiwa wajawazito na wakunga wa jadi wakati wa kujifungua husababisha matatizo ya kiafya kwa watoto wanaozaliwa na wanawake hao.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri akataa picha ya pamoja na walimu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tamisemi, Hawa GhasiaWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia, amewawekea ngumu walimu wa Shule ya Sekondari Mafiga ya Manispaa ya Morogoro kupiga nao picha ya ukumbusho.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AONYA MATUMIZI YA RUSHWA UCHAGUZI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaonya Watanzania kuwa makini na watu wanaotumia rushwa ili kupata nafasi za uongozi na hasa kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015.
Ametoa onyo hilo leo mchana (Jumapili, Julai 27, 2014) wakati akizungumza na mamia ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya uzinduzi wa dayosisi mpya ya Ruvuma ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kuwekwa wakfu Askofu Amon Mwenda aliyeteuliwa kuongoza dayosisi hiyo. 
“Ninawasihi...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI KUAJIRI WALIMU 35,000 - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imepanga kuajiri walimu zaidi ya 35,000 kwa ajili ya shule za sekondari ili kukabiliana na tatizo la uhaba wa walimu nchini.
Ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamisi, Februari 19, 2015) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa kata ya Kiwere, mara baada ya kukagua ujenzi wa maabara na kuzindua nyumba nne za walimu kwenye shule ya sekondari ya Kiwere, tarafa ya Kalenga, wilayani Iringa.
Waziri Mkuu alisema walimu hao watagawanywa kwenye shule kulingana...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI KIVULI WA ELIMU APINGA SERIKALI KUWATAKA WALIMU KUJIELEZA KWA WAKUU WA MIKOA

Waziri Kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lyimo (Chadema) akifafanua jambo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu matatizo katika sekta ya elimu. Kushoto ni Katibu wa Bawacha, Grace Tendega. (Picha na Francis Dande)
Na MwandishiWetu
WAZIRI kivuli wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Suzan Lymo, amepinga kitendo cha serikali cha kuwataka walimu waliofunga shule kutokana na uhaba wa chakula waende wakajieleze kwa Mkuu wa Mkoa kutokana na hatua hiyo.

Suzan, alitoa kauli hiyo baada ya serikali kudai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani