Waziri Kairuki Agawa Taulo za Kike kwa Wanafunzi Same
![](https://1.bp.blogspot.com/-i2_GbI-tUvw/XnC6-Xw_MlI/AAAAAAALkF0/XtLQ7bzFIqMDTTKhPPsE_sBU5pVQgycUACLcBGAsYHQ/s72-c/kairuki.png)
Na Vero Ignatus,Killimanjaro.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji ,Angellah Kairuki amegawa msaada wa taulo za kike kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Makanye iliyoko wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro lengo ikiwa ni kuwasaidia watoto wa kike wanaotoka kwenye kaya zenye uhitaji waweze kupata msaada huo.
Akikabidhi taulo hizo ,Kairuki amepongeza juhudi za serikali za kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote bila kubagua jambo ambalo litawawezesha watoto wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziMBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI TAULO ZA KIKE 'PEDI' ZA MIL 7.8 KWA WANAFUNZI WA KIKE DARASA LA SABA 2020 Inbox x
Na Kadama Malunde - Malunde 1 bogMbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Azza Hilal Hamad (CCM) amekabidhi Taulo laini za kike ‘Pedi’ zinazofuliwa zenye thamani ya shilingi milioni 7.7 zilizotokana na mchango wake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani...
10 years ago
Habarileo29 Oct
Mbunge agawa viatu kwa wanafunzi 48,600
JUMLA ya watoto 48,600 wa shule za msingi katika halmashauri ya Bumbuli, wilayani Lushoto wameanza kufaidika na mgawo wa jozi za viatu uliotolewa na Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Q3zoqSWNmwg/XmB-QT5AisI/AAAAAAALhG8/U4287njUmn0v8unmWo_YMaK0Bb5cgsEdgCLcBGAsYHQ/s72-c/c9154ec6-3537-4b73-9860-0700d23ff93b.jpg)
INSPIRATIONAL WOMEN GROUP NA WADAU MBALIMBALI WATOA MSAADA WA TAULO ZA KIKE MKULIMA SEKONDARI
ASASI ya kijamii ya Inspirational women Group wametoa msaada wa taulo za kike kwa kushirikiana na shirika la msalaba mwekundu Tanzania (red Cross)na wadau mbalimbali kwa wanafunzi wa kike 150 wa sekondari ya Wakulima iliyopo Mkoani Kigoma katika Manispaa ya Kigoma ujiji.
Akitoa mada juu ya hedhi salama kwa mtoto wa kike Mwenyekiti wa women inspirational Aisha John kabla ya kugawa taulo hizo alisema kuwa mtoto wa kike anapokuwa kwenye hedhi anatakiwa awe na amani muda...
10 years ago
Habarileo11 Sep
Wanafunzi wa kike wanusurika kufa kwa moto
ZAIDI ya wanafunzi 96 wa kike wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari African Muslim iliyopo mjini Moshi, wamenusurika kifo baada ya bweni walilokuwa wakilala, kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia jana mjini hapa.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FIaywUYlZAU/VfmluBizCqI/AAAAAAAH5Yc/pTVN97u__oQ/s72-c/unnamed%2B%252843%2529.jpg)
Taarifa kwa Umma kutoka kwa Angellah Kairuki, Naibu Waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya Makazi
![](http://1.bp.blogspot.com/-FIaywUYlZAU/VfmluBizCqI/AAAAAAAH5Yc/pTVN97u__oQ/s400/unnamed%2B%252843%2529.jpg)
Tarehe 14 Septemba 2015 ulisambazwa ujumbe kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii ukidai kuonyesha mawasiliano ya Makada wa Chama cha Mapinduzi nikiwamo mimi (Angellah Kairuki), Nd. January Makamba, Nd.Mwigu Nchemba na Nd.Livingstone Lusinde. Wakati ujumbe huo umeanza kusambazwa nilikuwa kwenye mikutano ya Kampeni ya Mgombea Mwenza wa CCM Mhe.Samia Suluhu Hassan Wilayani Nachingwea na Liwale hivyo kupelekea kuchelewa kutoa taarifa yangu hii.
Napenda kuufahamisha umma...
5 years ago
MichuziWAZIRI KAIRUKI AWAPONGEZA VIONGOZI MKOA WA SINGIDA KWA KUHIMIZA UWEKEZAJI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Vjwvt9KQdDQ/XtFXiuciRoI/AAAAAAALsCI/CFhoCaN2p2czEjpZykdDfrfy5tXr0e5TwCLcBGAsYHQ/s72-c/c74db66d-73a3-48c6-8cfe-4152fd24fdf4.jpg)
WAZIRI KAIRUKI AIPONGEZA BENKI YA TADB KWA KUWASHIKA MKONO WAWEKEZAJI WAZAWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Vjwvt9KQdDQ/XtFXiuciRoI/AAAAAAALsCI/CFhoCaN2p2czEjpZykdDfrfy5tXr0e5TwCLcBGAsYHQ/s640/c74db66d-73a3-48c6-8cfe-4152fd24fdf4.jpg)
Charles James, Michuzi TV
SERIKALI imeahidi kuiongezea mtaji Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) kutokana na namna inavyowasaidia wakulima na kuwapa kipaumbele wawekezaji wazawa.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki leo...