Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI KAWAMBWA AZINDUA RASMI TAARIFA YA UTAFITI WA "KKK" TANZANIA

Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuyafikia malengo ya Milenia ya kuhakikisha utoaji wa elimu ya msingi kwa watoto wote ifikapo mwaka 2015 ambapo kwa sasa, uandikishaji wa watoto wote katika elimu ya msingi umefikia asilimia 96.2.   Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati akifungua warsha ya uwasilishaji wa ripoti ya upimaji wa kitaifa wa Stadi za Kusoma, Kuandika na Kuhesabu maarufu KKK kwa darasa la pili uliofanyika ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAZIRI KAWAMBWA AZINDUA RASMI TAARIFA YA UTAFITI WA "KKK" TANZANIA‏

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk. Shukuru Kawambwa  akiwaisili Hoteli ya Double Tree  jijini Dar es Salaam, tayari kuzindua warsha ya uwasilishaji wa ripoti ya  upimaji wa Kitaifa wa Stadi za kusoma ,Kuandika na Kuhesabu kwa darasa la pili iliyofanyika mwezi wa Oktoba 2013  kwa ufadhili wa serikali ya Marekani kupitia Shirika la USAID. Katikati ni Naibu Waziri wa TAMISEMI Kassim Majaliwa na Kulia ni Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

MISA TANZANIA YASHEREKEA SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI YA KUPATA TAARIFA NA KUZINDUA UTAFITI WA UPATIKANAJI WA TAARIFA KWENYE OFISI ZA UMMA NCHINI TANZANIA

Afisa utafiti na maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa(wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.
Mwenyekiti msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kufuatia taarifa za uvumi wa kifo cha Waziri wa Elimu Shukuru Kawambwa, ukweli uko hapa!

Waziri-wa-Elimu-na-Mafunzo-ya-Ufundi-Dkt.-Shukuru-Kawambwa.

Taarifa hii imetoka kwenye akaunti ya facebook ya Mbunge wa Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete na inasomeka kama ifuatavyo….Ndg Watanzania,WanaBagamoyo na wapenda maendeleo, kwa niaba ya CCM-Bagamoyo na Ofisi ya Mbunge-Jimbo la Bagamoyo napenda kuleta kwenu Masikitiko yetu kwa niaba ya Chama na Familia ya Mheshimiwa Mbunge Shukuru Jumanne Kawambwa kutokana na Usumbufu ambao umesababishwa na habari zinazoenezwa Mitandaoni kwamba Mheshimiwa Kawambwa amekumbwa na Umauti akiwa njiani anaelekea...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Makame azindua Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti

Mhe. Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ( mwenye mkasi) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mtandao wa Kuunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti nchini. Anayeshuhudia ni Prof. Tolly Mbwete, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania na mwakilishi wa Benki ya Dunia, Tanzania.
Mtandao huo umeunganisha Taasisi za Elimu ya Juu na Utafiti 22 nchini ambapo Vyuo Vikuu mbalimbali nchini vinaweza kuwasiliana, kutoa huduma ya elimu mtandao, maktaba mtandao,...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA(TAMISEMI)MH.KASSIM MAJALIWA AZINDUA RASMI KAMPENI YA FISTULA MWISHONI MWA WIKI‏

Naibu waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Mh. Kassim Majaliwa (Kulia)akikabidhiwa hundi yanye thamani ya shilingi milioni 100/- na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Grace Lyon, kwa niaba ya hospitali ya CCBRT kwa ajili ya kampeni ya kutokomeza Fistula nchini  wakati wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Fistula yaliyofanyika  kitaifa  katika Wilaya ya Mbogwe  mkoani...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri Mukangara azindua rasmi mashindano maalum shule za sekondari Dar

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Dk. Fenella Mukangara akipiga penati  na kumpeleka siko  Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano maalum kwa shule za sekondari mkoa wa Dar es Salaam. Kampuni ya simu ya Vodacom ndio wadhamini wakuu wa mashindano hayo yanayotimua vumbi kuanzia katika viwanja tofauti vitatu kwa kila wilaya kuanzia tarehe 8 mpaka 23 ya mwezi Februari. Kwa taarifa kamili na picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA VIWANDA ABDALA KIGODA AZINDUA RASMI MASHINDANO YA MAGARI DAR

Mgeni rasmi akisaini kitabu katika banda la TRA. …akikagua moja ya banda lililopo katika maonyesho hayo.…

 

11 years ago

Habarileo

Dk Kawambwa azindua Tume ya Vyuo Vikuu

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa jana amezindua Tume ya Vyuo Vikuu na kuitaka kuhakikisha wanadhibiti ubora na kiwango cha elimu inayotolewa.

 

10 years ago

Michuzi

Waziri wa Nishati na Madini azindua rasmi Bodi ya Tanesco Asisitiza siku za kuunganisha umeme kupungua

Na Teresia Mhagama Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amezindua rasmi Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na kuipa vipaumbele vya utekelezaji wa majukumu vitakavyotekelezwa na Bodi hiyo kabla ya kufikia ukomo wake mnamo mwaka 2017. Uzinduzi wa Bodi hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam katika Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Ulihudhuriwa na viongozi wa Wizara ya Nishati na Madini akiwemo Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen Masele,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani