Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Membe aanzisha Mfuko Maalum kusaidia Wanafunzi Elimu ya Juu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba  wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo yaliyofanyika katika Viwanja vya Hoteli ya Kiromo iliyopo Bagamoyo. Wahitimu 99 katika fani mbalimbali walitunukiwa shahada zao. Pembeni yake ni Profesa  Costa Mahalu.Sehemu ya Wahitimu hao wakifuatilia hotuba ya Mhe. Membe (hayupo pichani)Baadhi ya wahitimu wa fani mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo wakiwa wamekaa kwa utulivu huku...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wakutana

Wananchama wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu, Sayansi, Teknolojia, Habari na Utafiti nchini (RAAWU), Tawi la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) wamekutana kwa semina ya siku mbili mwishoni mwa wiki iliyopita kupitia pamoja na mambo mengine; masuala ya nafasi na wajibu wa kisheria wa vyama vya wafanyakazi katika kuleta tija na ufanisi sehemu za kazi.   Akifungua semina hiyo ya siku mbili kwa wanachama wa RAAWU tawi la HESLB, Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

MEMBE azindua mfuko wa elimu UB

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe, amezindua mfuko wake wa elimu katika Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), uitwao ‘Bernad Membe Scholarship’ kwa ajili ya kusaidia...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA OMAN KUHUSU ELIMU YA JUU

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi , Mhe, Dkt. Shukuru Kawambwa akizungumza na Balozi wa OMan ndugu H.E. Saoud Ali Ruqqishi kuhusu ushirikiano baina ya Oman na Tanzania katika Elimu ya juu.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Idadi ya wanafunzi elimu ya juu yapungua’

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuna upungufu wa wanafunzi zaidi ya 50,000 wanaohitajika kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/15.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI 20 WAPATIWA UDHAMINI WA MASOMO YA ELIMU YA JUU

Kushoto ni Padri Kassase akiwa na mkuu  wa chuo cha Mlimani School of Professional Students, Hassani Ngoma katika makabidhiano ya hati ya udhamini wa  wanafunzi .
Viongozi na wawakilishi wa dini ya Kikristo na Kislamu wakiwa katika majadiliano kabla ya mkutano kuanza.…

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA UTUMISHI KUTOKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA WAPATA ELIMU JUU YA MAENDELEO YA MFUKO WA PENSHENI WA GEPF

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Mh. Halima Dendegu akifungua rasmi semina maalum kwa Maafisa Utumishi kutoka Mikoa ya Lindi la Mtwara Juu ya Maendeleo ya Mfuko wa Pensheni wa GEPF,uliofanyika Mkoani Mtwara.Katika hotuba yake ya Ufunguzi,Mh. Dendegu ameupongeza na kuushukuru uongozi wa Mfuko wa GEPF kwa kuifikisha elimu hiyo katika mikoa hiyo ya kusini. Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF,Bw. Aloyce Ntukamazina akiwasilisha mada juu ya maendeleo ya Mfuko wa GEPF, mafao mapya yatolewayo ...

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIMA JUU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI MKOANI LINDI

Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga akitoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusu, mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.   Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, wakimsikiliza Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga wakati akitoa mafunzo kwa watumishi hao juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.  Mkurugenzi wa Masoko na Uhusino...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana akutana na wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu Dodoma

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa nje ya ukumbi wa NEC maarufu kama white house mjini Dodoma tayari kwa kukutana na wanafunzi wa Shirikisho la vyuo vya elimu ya juu mkoani Dodoma.

  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mkoani Dodoma kabla ya kuingia kwenye mkutano kwenye ukumbi wa mikutano wa NEC maarufu kama White House,CCM makao makuu Dodoma.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani