Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MEMBE azindua mfuko wa elimu UB

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe, amezindua mfuko wake wa elimu katika Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), uitwao ‘Bernad Membe Scholarship’ kwa ajili ya kusaidia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe aanzisha Mfuko Maalum kusaidia Wanafunzi Elimu ya Juu

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akitoa hotuba  wakati wa Mahafali ya Pili ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo yaliyofanyika katika Viwanja vya Hoteli ya Kiromo iliyopo Bagamoyo. Wahitimu 99 katika fani mbalimbali walitunukiwa shahada zao. Pembeni yake ni Profesa  Costa Mahalu.Sehemu ya Wahitimu hao wakifuatilia hotuba ya Mhe. Membe (hayupo pichani)Baadhi ya wahitimu wa fani mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo wakiwa wamekaa kwa utulivu huku...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal azindua mfuko wa elimu wa halmashauri ya mji wa Kibaha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili kuzindua Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, leo, Mei 31, 2014. (Picha na OMR).

2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.

3

 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za...

 

11 years ago

Habarileo

JK azindua mfuko wa sekta binafsi

RAIS Jakaya Kikwete amezindua mfuko wa sekta binafsi wa kuwezesha wawekezaji nchini katika kupata mtaji, utakaokuza biashara na kukuza uchumi nchini. Mfuko huo unajulikana kama Mkoba, unalenga kutoa mitaji inayoanzia dola milioni moja hadi milioni 15.

 

11 years ago

Habarileo

Kibaha kuanzisha Mfuko wa Elimu

HALMASHAURI ya Mji Kibaha inatarajia kuanzisha Mfuko wa Elimu ili kuweza kuboresha kiwango cha elimu na ufaulu kwa wanafunzi kwa kutoa elimu bora inayokwenda sambamba na ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MFUKO WA UBUNIFU NA MAENDELEO YA WATU (HDIF)

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Ubunifu na Maendeleo ya Watu, unaosimamiwa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

MEMBE AZINDUA SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KUTANGAZA UTALII

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amewataka Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali ulimwenguni kuhakikisha kuwa wanatangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini ikiwa ni njia mojawapo ya kutekeleza diplomasia ya uchumi.
Waziri Membe aliyasema hayo wakati akizindua zoezi la kupanda Mlima Kilimanjaro linalofanywa na mabalozi mbalimbali wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kwa lengo la kuutangaza Mlima Kilimanjaro ili uweze kuvutia watalii...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal achangia mil 10/- Mfuko wa Elimu Kibaha

Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib BilalMAKAMU wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilal ameuchangia Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani kiasi cha Sh milioni 10.

 

11 years ago

Michuzi

MAMA TUNU PINDA AMEZINDUA MFUKO WA ELIMU

 Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda akizindua mfuko wa Elimu Tanzania  (TEF) kwa ajili ya kusaidia elimu ya msingi na sekondary kwa watoto wa kike na wakiume waliopo katika mazingira magumu. Kulia kwa mama  Pinda ni Rais wa Tasisi ya mshikamano wa wanawake wa kiafrika kutoka nchini Maerkani Bibi Rwanda Saleem na kushoto kwake ni mwenyekiti wa chama cha walimu wanawake Tanzania (TAWOTEA) Mwalimu Fatuma Kambi. Sherehe hiyo imefanyika jijini Dar es salaam katika kusherehekea siku ya wanawake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani