WAZIRI MEMBE ASISITIZA UMUHIMU WA VIWANDA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb.), akiongea kwenye muhadhara kabla ya Mtoa mada mkuu Prof. Justin Yifu Lin hajaongea katika muadhara uliokuwa unazungumzia umuhimu wa viwanda nchini ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje Makamu wa Rais wa zamani wa Benki ya Dunia, Prof. Justin Yifu Lin akitoa mada yake juu ya uwanzishaji wa viwanda nchini Tanzania katika muadhara ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI MEMBE ASISITIZA UMUHIMU WA VIWANDA NCHINI
Mhe. Membe alipongeza uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kuichagua Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tatu za Afrika itakapohamishia baadhi ya viwanda vyake, akazitaka taasisi za uwekezaji na uendelezaji wa viwanda kuweka mikakati madhubuti ya kutumia fursa hiyo...
10 years ago
Dewji Blog16 Aug
Waziri Mkuu Pinda asisitiza umuhimu wa ardhi katika uwekezaji
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda.
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda amewatoa Watanzania hofu kuhusu suala la wageni kumiliki ardhi nchini.
Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jijini Dar es salaam wakati akifungua mkutano wa pili wa majadiliano ya pamoja kati ya Serikali ya Mitaa ya China na Tanzania ambapo walishirikiana pia na sekta ya biashara kutoka nchi hizo.
“Hofu ni halali na ni lazima kwa Watanzania...
10 years ago
Habarileo19 Nov
Shein asisitiza umuhimu wa Wapatholojia
IMEELEZWA kwamba wakati umefika kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, kuwajengea uwezo wataalamu wanaohusiana na uchunguzi wa maradhi ‘Wapatholojia’ kwa lengo la kuimarisha huduma za kimaabara na kuinua sekta ya afya nchini.
10 years ago
Habarileo08 Jul
Asisitiza umuhimu wa takwimu sahihi
MKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk Albina Chuwa amesisitiza umuhimu wa kuwa na takwimu sahihi za mazingira ili kuepuka madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia nchi.
10 years ago
Habarileo22 Feb
JK asisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kikanda
TANZANIA inaunga mkono kwa dhati ushirikiano wa kikanda na ni muumini mkubwa wa Umoja wa Afrika na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
10 years ago
Dewji Blog24 Jul
Bhalalusesa asisitiza umuhimu wa umahiri katika Tehama
Kiongozi wa kitaifa wa mradi wa CFIT, Prof. Ralph Masenge akimkaribisha mgeni rasmi Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa (hayupo pichani) kufungua kongamano linalohusu upitiaji wa waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu linalofanyika mjini Bagamoyo.
Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa akisoma hotuba kwa niaba ya Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalusesa wakati akifungua rasmi kongamano linalohusu upitiaji wa waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa...
9 years ago
Mwananchi11 Sep
Hamad asisitiza ujenzi wa viwanda
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA
10 years ago
GPLNAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ,JANET MBENE ATEMBELEA VIWANDA VYA GENERAL TYRE NA A TO Z JIJINI ARUSHA