Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MEMBE ASISITIZA UMUHIMU WA VIWANDA NCHINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe, amesema upatikanaji wa gesi ni nyenzo muhimu ya uendelezaji wa viwanda vya kati ili kutengeneza ajira na kuharakisha maendeleo ya nchi.
Mhe. Membe alipongeza uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kuichagua Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tatu za Afrika itakapohamishia baadhi ya viwanda vyake, akazitaka taasisi za uwekezaji na uendelezaji wa viwanda kuweka mikakati madhubuti ya kutumia fursa hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE ASISITIZA UMUHIMU WA VIWANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Mb.), akiongea kwenye muhadhara kabla ya Mtoa mada mkuu Prof. Justin Yifu Lin hajaongea katika muadhara uliokuwa unazungumzia umuhimu wa viwanda nchini ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje Makamu wa Rais wa zamani wa Benki ya Dunia, Prof. Justin Yifu Lin akitoa mada yake juu ya uwanzishaji wa viwanda nchini Tanzania katika muadhara ulioandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda asisitiza umuhimu wa ardhi katika uwekezaji

Mizengo-Pinda

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda amewatoa Watanzania hofu kuhusu suala la wageni kumiliki ardhi nchini.

Waziri Mkuu Pinda alitoa kauli hiyo jijini Dar es salaam wakati akifungua mkutano wa pili wa majadiliano ya pamoja kati ya Serikali ya Mitaa ya China na Tanzania ambapo walishirikiana pia na sekta ya biashara kutoka nchi hizo.

“Hofu ni halali na ni lazima kwa Watanzania...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waziri asisitiza utunzaji vyanzo vya maji nchini

SERIKALI imesisitiza umuhimu wa utunzaji wa vyanzo vya maji kwa faida ya ustawi wa wananchi na maendeleo ya uchumi wa taifa kwa ujumla. Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni mjini hapa...

 

10 years ago

Habarileo

Shein asisitiza umuhimu wa Wapatholojia

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.IMEELEZWA kwamba wakati umefika kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, kuwajengea uwezo wataalamu wanaohusiana na uchunguzi wa maradhi ‘Wapatholojia’ kwa lengo la kuimarisha huduma za kimaabara na kuinua sekta ya afya nchini.

 

10 years ago

Habarileo

JK asisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kikanda

Rais Jakaya Kikwete.TANZANIA inaunga mkono kwa dhati ushirikiano wa kikanda na ni muumini mkubwa wa Umoja wa Afrika na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 

10 years ago

Habarileo

Asisitiza umuhimu wa takwimu sahihi

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk Albina ChuwaMKURUGENZI Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Dk Albina Chuwa amesisitiza umuhimu wa kuwa na takwimu sahihi za mazingira ili kuepuka madhara yatokanayo na mabadiliko ya tabia nchi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Bhalalusesa asisitiza umuhimu wa umahiri katika Tehama

IMG_8834

Kiongozi wa kitaifa wa mradi wa CFIT, Prof. Ralph Masenge akimkaribisha mgeni rasmi Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa (hayupo pichani) kufungua kongamano linalohusu upitiaji wa waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa vyuo vya ualimu linalofanyika mjini Bagamoyo.

IMG_8915

Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa akisoma hotuba kwa niaba ya Kamishina wa Elimu, Profesa Eustella Bhalusesa wakati akifungua rasmi kongamano linalohusu upitiaji wa waraka wa mafunzo ya Tehama kwa wakufunzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA NCHINI UTURUKI

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amepokea ujumbe kutoka nchi ya uturuki. Ulioongozwa na meya wa Uturuki Mr. Ekrem Yüce na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Prof. Elizabeth K. Kiondo na mwenyeji wao Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu.
Ujumbe umeonesha nia yao ni kufanya mazungumzo lenye lengo la nchi ya Uturuki kufanya uwekezaji nchini Tanzania.
Bashungwa amewaeleza jinsi Tanzania inavyoendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji na biashara kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani